Naona kila dalili ya kupigwa mzinga, nijibu vipi kwenye hii conversation?

Usimdhini sio mke wako huyo kamtolee mahari uoe ndiyo umzini......

Hivi huwa mnaangalia upande mmoja eeeeh???? Kama unaona huwezi kumuhudumia sababu sio mkeo basi usidhini nae sababu sio mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu suala kuzini ni suala la pande mbili ..anaweza akawa anahitaji yeye japokuwa sijamtolea mahali na wala si mke wangu..ni suala la feelings tu hilo
 
Pia kuhusu huduma .zipo zile ndogondogo ambazo ni za kawaida lakini sio kuanza kulipa ma school Fee's.. Mara hostel alaf anakuja kukusaliti kisa amepata kwenye degree mwenzake
Swala nani alimfuata mwenzie kumuingiza kwenye uzinzi kama ni wewe umejibebesha majukumu ya mume ............sababu ulitakiwa uende kwao utoe mahari ndipo umchukue ...sasa umeamua kujichukulia kienyeji usikimbie kivuli chako

Na sisi wala hatuzungumzii ma school fee's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala nani alimfuata mwenzie kumuingiza kwenye uzinzi kama ni wewe umejibebesha majukumu ya mume ............sababu ulitakiwa uende kwao utoe mahari ndipo umchukue ...sasa umeamua kujichukulia kienyeji usikimbie kivuli chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utatoaje mahari haraka kabla huja mchunguza huyo unaendea kumtolea mahali lazima ujipe muda wa kumchunguza ..(courtship) ili usije uziwa mbuzi kwenye gunia
Au nyie huwa amchunguzi ??
Pia kumchunguza lazima kuanzie nje mpaka ndani
 
Wakati unamchunguza usidhini nae ukimgonga tu umejibebesha jukumu lingine ..hamuoni zamani watu walikua wakimtaka binti wanatoa taarifa makwao anatumwa mshenga kufanya taratibu wanaoa wanaweka ndani na ndoa zilidumu bila hayo makitu yanayoitwa kuchunguza .....sikuhizi mnachunguza na bado ndoa hazidumu

Siku hizi watoto wadogo wanavyotoa mimba hivyo ..unakuta binti mdogo mwembamba lakini kashatoa mimba kama 12 hivi mpaka amechomoa na kizazi..alafu unatoa mahali million 8 kama mc pililili ..alafu bahati mbaya unamuoa mnakaa miaka mitatu mtoto hamna ..huku na huku mkienda kupima Kila hospital wewe ndo unaonekana una matatizo ..kumbe nyuma ya pazia anawahonga wale madaktari ili waandike kuwa wewe ndio mwenye matatizo kumbe ni yeye(kweli wanawake ni majasiri sana) ili kuepusha hayo yote lazima niifanyie service ndege yangu kabla yaku paa angani
 
Wakati unafanya uchunguzi basi kitunze kifaa chako cha uchunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom