Naona kila dalili ya kupigwa mzinga, nijibu vipi kwenye hii conversation?


Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,164
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,164 2,000
Kiukweli sio kuogopa majukumu, mwishi wa siku atatoa tu, tatizo mnatabirika nyie.

Yani hicho ni kizinga bila chenga... Wanawake wa sikuizi huwa hawasemagi mambo mazuri amini.

Ukiona bebi nikuambie kitu, kinachofwata hapo ni kutangaza shida. Bahati nzuri wote mko hivi sijui ni nani aliye wafundishaga.

Wanawake wangekua na lugha tamu pia kwenye mambo mengine mngekuwa mnatushika sana mfano hapo ukimwambia niambie, akakuambia labda leo nimekuandalia ule msosi wako unaoupendaga.. Uwahi kuja kabla akijapoa...

Huyo ni waifu matilio unachumbia mapema sana.

Je kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
themanhimself176

themanhimself176

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Messages
1,449
Points
2,000
themanhimself176

themanhimself176

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2016
1,449 2,000
kanali mstaafu vipi umemijibu vipi mkuu embu tupe mrejesho na sisi wadogo zako tujifunxe tukoina sms kamaizo tujibu vipi
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
41,066
Points
2,000
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
41,066 2,000
Mimi huo muda wa kumwambia sijui nikwambie kitu sina!
Naenda direct kwenye jambo la msingi! Kama hawezi aseme siwezi!
 
debbug

debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Messages
281
Points
500
debbug

debbug

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2018
281 500
Basi siku zote nilikuwa najua we mwanaume... dah nimepoteza bahati mimi wallah...
apan mkuu huyu ndie aliekuwa na mpenz anaitwa chriss so wakat anajiunga jamii forum akatumia jina la bwana aka mbele ya Lake lakin cha ajabu chriss kamuacha so ni fulsa hiyo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,654
Points
2,000
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,654 2,000
Dah...isijekuwa
Days: Not seen

Sent using Beretta ARX 160
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
8,470
Points
2,000
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
8,470 2,000
Mtoa mada mie niko kwenye tasnia ya mapenzi miaka mingi sana. Hapo unapigwa mzinga amini usiamini na kama unaweza usimjibu mpk utakapokaa sana kiuchumi. Ukiona demu wa bongo anajibebisha ujue shida zimemkalia kooni
 
kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
3,870
Points
2,000
kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
3,870 2,000
Mtoa mada mie niko kwenye tasnia ya mapenzi miaka mingi sana. Hapo unapigwa mzinga amini usiamini na kama unaweza usimjibu mpk utakapokaa sana kiuchumi. Ukiona demu wa bongo anajibebisha ujue shida zimemkalia kooni
Asante kwa nasaha zako mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,027
Members 494,367
Posts 30,847,695
Top