Naona kama vile kuna mambo yanapelekwa haraka haraka wakati Lissu hayupo

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Kuna mambo yanaenda naona kama yanapelekwa Faster Faster sana, sasa sijui ni Kumvizia Lissu ili kabla hajarudi barabarani iwe tayari Mission Accomplished.
Maanake Lissu alikua anagusa kila issue yenye masilahi mapana ya Taifa aidha inayofanywa au inayotarajiwa kufanywa.

Hebu fuatilia issue kama hizi alafu zihusishe na kutokuwepo kwa kaka mkubwa Lissu

  • Issue ya Nkamia/CCM ya raisi kubaki miaka 7
  • Mikopo yenye Riba kubwa
  • Kufungwa kwa baadhi ya Migodi
  • Matoke ya Vikao vya majadiliano ya Makanikia (Hatuambulii kitu hapa)
  • n.k
Unafikiri Kaka Lissu angekua kwenye hali yake haya yasingepita bila yeye kusema maneno kuntu.
Pona haraka Lissu nchi inakuhitaji sana, tumeona gap lako kwa muda mfupi tuu.
 
Tumuombee Mungu Lissu apone haraka, siri za majadiliano ya makinikia zingekuwa nje leo hii
 
Kuna mambo yanaenda naona kama yanapelekwa Faster Faster sana, sasa sijui ni Kumvizia Lissu ili kabla hajarudi barabarani iwe tayari Mission Accomplished.
Maanake Lissu alikua anagusa kila issue yenye masilahi mapana ya Taifa aidha inayofanywa au inayotarajiwa kufanywa.

Hebu fuatilia issue kama hizi alafu zihusishe na kutokuwepo kwa kaka mkubwa Lissu

  • Issue ya Nkamia/CCM ya raisi kubaki miaka 7
  • Mikopo yenye Riba kubwa
  • Kufungwa kwa baadhi ya Migodi
  • Matoke ya Vikao vya majadiliano ya Makanikia (Hatuambulii kitu hapa)
  • n.k
Unafikiri Kaka Lissu angekua kwenye hali yake haya yasingepita bila yeye kusema maneno kuntu.
Pona haraka Lissu nchi inakuhitaji sana, tumeona gap lako kwa muda mfupi tuu.
Kama nchi yenye watu takriban million 50 iv na wasomi lukuki lkn inamtegemea mtu mmoja tu ktk mapambano basi hiyo nchi ni nchi ya ajabu kuwahi kutokea hapa duniani.
 
Niaonavyo mimi Lissu alitakiwa awepo kwenye Majadiliano hayo ila kwa nukuu ya Zito ya uongozi wa ''kibusitani'' mmmmm!
 
Kama nchi yenye watu takriban million 50 iv na wasomi lukuki lkn inamtegemea mtu mmoja tu ktk mapambano basi hiyo nchi ni nchi ya ajabu kuwahi kutokea hapa duniani.
rejea kisa cha Wanawaizraeli na Musa,unafikiri wanawaizrael walikuwa kumi!! Ila Mungu aliona Musa anafaa kuwasemea na kuwaongoza pamoja na kwamba walikwepo akina Haruni.Hivyo pamoja na hawa washamba wengine waliokabidhiwa nchi,Lissu anahitajika sana kuwatafsiria watanzania baadhi ya mambo ambayo watawala wanafanya chini ya kapet kwa sasa.
 
Kitu ambacho lisu hukifanya kwanza ni cha kijasiri cc watz wengi ni waoga sana, mfano kwa kilichompata lisu kuna watu watasubutu tena kuropoka?
 
Kama nchi yenye watu takriban million 50 iv na wasomi lukuki lkn inamtegemea mtu mmoja tu ktk mapambano basi hiyo nchi ni nchi ya ajabu kuwahi kutokea hapa duniani.
ma-phd holders na ma-prof watanzania asilimia kubwa sio watu wa kuwaamini....ni wanafiki sana....nyekundu watakwambia nyeupe,nyeupe watakwambia nyekundu.

imagine mtu kama dr. bana..bora lissu apone aise.
 
Kweli inaweza kuwa kuna ushamba ndani yake. huwa sielewi tunakwenda wapi?. Mara zote tunawaona wanafika mahali wanaanza kushangaaaaaaaa!!! na kulizana na kukosa majibu alafu tunapiga hatua moja then tena wanafika sehemu nyingine wanashangaaaaaa!!! alafu tunapiga hatua 20 nyuma. Kwa kweli hatuelewi tutafika wapi saa ngapi na kwa njia gani.
 
Huwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anauliza swali eti mchawi wetu ni nani! Hivi hatumjui mchawi wetu kwa miaka yote hii? Au ni maneno ya kampeni?
 
Lissu si kibaraka wa mabepari lzm mambo yaende hrk kabla hajarudi kuwajaza ujinga mambumbumbu
 
Kama nchi yenye watu takriban million 50 iv na wasomi lukuki lkn inamtegemea mtu mmoja tu ktk mapambano basi hiyo nchi ni nchi ya ajabu kuwahi kutokea hapa duniani.
Sasa kama mtu mmoja tu ndio kaamua kujitoa muhanga halafu huyohuyo wanataka kumrestisha unategemea nini?
 
Hasa hili suala la Nkamia huenda ndo kiini hasa cha kutaka kulazwa chini.
 
Back
Top Bottom