Naona kama uzee umeshaanza kunisogelea. Ushauri wenu

Duh! Mbona nilishayasahau hayo mkuu, aged now
OK mkuu. Basi fanya sana ibada kumshukuru Mungu kwa kukuwezesha kujitambuwa ,,
Maana ni jambo la kushukuru Mungu sn.
Wapo watu siku zote wanajiona bado watoto wa miaka 18 wakati tayari wameshaanza kuhisi baridi wakati Wa jua Kali.
 
Uchumi wangu wa kati, umri kati ya 65-70yrs nacheza hapo bila ya shaka
Ushagawa urithi?

Zaburi 90:10 BHN​

Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
 
Mkuu King Kong nimezaliwa kipind kile cha Tanzania ilikumbwa na njaa kali, for approximation 65->70yrs
Yaani hadi unafika 60+ ulikuwa bado tu unaendelea na pombe na ganja? ukishafikisha 45 inabidi uanze kuachana na hivyo vitu.
 
Ushagawa urithi?

Zaburi 90:10 BHN​

Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
Pamoja kwa ushauri maridhawa
 
Habari wadau

Kama heading inavyojionesha hapo wakuu.
Nina kama mwezi hiv najikuta nimebadilika sana kitabia, busara imepanda sana, watot wazur sina mpango nao hata wakinishobokea sina time nao

Napendelea kuvaa msuli kwa sana, sina mpango na ganja kabisa pombe ndo siihitaji kabisa

Nimeanza kusoma magazeti ya nipashe, mwananchi, habari leo.

Bila ya shaka nimeanza kuona uzee huo umeanza kugonga hodi (so sad)

Sasa wadau nimekuja kwenu kutaka ushauri wenu vitu vipi ningeendlea kuvimaintain zaid na kama kuna vya kuongezea katika lika hili la uzee na vip vya kuviepuka

Jf kisima cha maarifa
Ushirikiano wenu wakuu
Nenda ukapime Tezidume bro.
 
Ni aibu kuzeekea kwenye nyumba za kutanga tanga (kupanga). Kama hujajenga, parangana hata ujenge chumba na sebule.
 
Sijaelewa huo uzee wako ni wa Umri au akili tu inakuambia umezeeka kumbe una 50 tu

Kama unaona kweli uzee unakunyemelea kiumri basi usiache matembezi hata maili moja asubuhi na jioni
Pia kama uko mjini kazi ni muhimu sana ila sio ya kujichosha

Epuka kukaa sana
Kula vizuri
 
Kukaa sana kivip mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom