Pw, nitafanya hivyo, lete madini mengineKama alivyokoment mkuu hapo juu kula chanjo kwanza kisha tuendeleeeeeView attachment 1884640
Pamoja mkuu, ahsante kwa ushauri maridhawaAnza kujiandaa kwa vitu vifuatavyo:
1. Afya yako iwe kipaumbele. Kisukari, presha ni magonjwa ya uzee. Punguza matumizi ya Sukari, mafuta na vilevi. Fanya mazoezi madogo madogo.
2. Akiba itakayokusaidia kipindi cha uzee wako iwe kipaumbele. Kama una miradi iendeleze zaidi. Kama kuna kanyumba bado hujamalizia, fanya namna iishe.
3. Focus na familia yako haswa mkeo na watoto. Achana na starehe za kipuuzi. Michepuko ipotezee. Tamaa ya watoto wadogo, ishinde.
4. Kuwa karibu na Mungu. Zidisha ukaribu wako na muumba wako kwa sababu siku zako za kuishi ni chache kuliko zile ambazo tayari uneshatumia.
Uchumi wangu wa kati, umri kati ya 65-70yrs nacheza hapo bila ya shakaHujataja vitu viwili vya msingi sana kwenye mada yako;
1. Uchumi wako unasimamia wapi kwa sasa.
2. Umri wako.
Baada ya hapo tutajua ushaanza kuzeeka kweli au matatizo ya kiuchumi yanakupa limitations za nini ufanye na nini usifanye.
Umri kati ya 65-70yrs, basi kwa umri tu bila kuangalia kigezo cha uchumi upo kundi la wazee.Uchumi wangu wa kati, umri kati ya 65-70yrs nacheza hapo bila ya shaka
Ushauri wangu hama nyumbani kwa Dada yako.Habari wadau
Kama heading inavyojionesha hapo wakuu.
Nina kama mwezi hiv najikuta nimebadilika sana kitabia, busara imepanda sana, watot wazur sina mpango nao hata wakinishobokea sina time nao
Napendelea kuvaa msuli kwa sana, sina mpango na ganja kabisa pombe ndo siihitaji kabisa
Nimeanza kusoma magazeti ya nipashe, mwananchi, habari leo.
Bila ya shaka nimeanza kuona uzee huo umeanza kugonga hodi (so sad)
Sasa wadau nimekuja kwenu kutaka ushauri wenu vitu vipi ningeendlea kuvimaintain zaid na kama kuna vya kuongezea katika lika hili la uzee na vip vya kuviepuka
Jf kisima cha maarifa
Ushirikiano wenu wakuu
Jiandae kuota busha na kupungukiwa na nguvu za kiumeHabari wadau
Kama heading inavyojionesha hapo wakuu.
Nina kama mwezi hiv najikuta nimebadilika sana kitabia, busara imepanda sana, watot wazur sina mpango nao hata wakinishobokea sina time nao
Napendelea kuvaa msuli kwa sana, sina mpango na ganja kabisa pombe ndo siihitaji kabisa
Nimeanza kusoma magazeti ya nipashe, mwananchi, habari leo.
Bila ya shaka nimeanza kuona uzee huo umeanza kugonga hodi (so sad)
Sasa wadau nimekuja kwenu kutaka ushauri wenu vitu vipi ningeendlea kuvimaintain zaid na kama kuna vya kuongezea katika lika hili la uzee na vip vya kuviepuka
Jf kisima cha maarifa
Ushirikiano wenu wakuu
Nimekupata mkuuUmri kati ya 65-70yrs, basi kwa umri tu bila kuangalia kigezo cha uchumi upo kundi la wazee.
Muhimu ni kujikinga na maradhi yanayoambukiza hasa uviko19. Wewe ni lazima upate hiyo chanjo, lakini usisahau barakoa na jiepushe na misongamano isiyo ya lazima kiongozi.