Naona Jaji Kaijage hamjui mwenyekiti...

Professional ,sheria,katiba zinavunjwa na kuingiliwa watu wanashangilia kwa kisingizio cha kuinyoosha nchi
 
Jaji Kaijage, usiongee mengi , utajiharibia sifa yako. Kwenye Bar ulikuwa Jaji mzuri. Hukumu zenu Court of Appeal bado zinaheshima. Just keep quite and watch the trend. Huwezi kuionya CCM iliyokupa ulaji. Unaanza kudanganya. Philosophers wataanza kukuchambua!
 
Hahahaha
Kaanza kwa biti kali , ila mtakuja mchukia huyo, mi si nipo hapa, aliye mpa ulaji si ndio mwenyekiti wa CCM, kwani hata Faru John mwenyewe alianzaje? Si kwa biti hivo hivo angalia saa hizi mambo yalivo mshinda
 
Nadhani huyu atakua msomi wa pili ndani ya mfumo wa chechemi baada ya Ndululu.
 
Haya matamko mbona tumekwisha yazoea awamu hii. Hilo ni changa la macho tuone kwa MBA anawajibika.
 
Safi sana jaji endelea kufuata na kuheshimu katiba kwa sababu cheo ni dhamana, sisi wananchi tutakuombea na kukulinda
 
Hahahaaa!!!! Janja ya nyani hiyo hamna lolote hapo mvinyo ni ulelule chupa ileile lebo tu imebadilishwa rangi
 
Hahahaha
Kaanza kwa biti kali , ila mtakuja mchukia huyo, mi si nipo hapa, aliye mpa ulaji si ndio mwenyekiti wa CCM, kwani hata Faru John mwenyewe alianzaje? Si kwa biti hivo hivo angalia saa hizi mambo yalivo mshinda
Mkuu Faru john ndio nani huyo
 
Hizi kauli za mwenyekiti wa NEC naona zinaenda tofauti na matakwa ya mwenyekiti...yaani jaji kama vile hakuwepo nchini kipindi cha Mafuru na Dr. Mallecela..

Jaji ni kama vile ameshuka jana pale airpot na hajui nini kinaendelea..

Jaji umetoa wapi mamlaka ya kuionya CCM

Endelee kutoka kauli zenye mwelekeo tofauti na za mwenyekiti..


View attachment 449790 View attachment 449791 View attachment 449792
Ukiuondoa utumwa wa fikra kichwani utaelewa na si vinginevyo.
 
Wanaanzaga hivi, matamko, mikwara na weledi hadi katika kuongea. Baadaye sasa......utajiuliza kweli huyu ni jaji?
 
Back
Top Bottom