theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,638
Wakuu, mwenzenu bado sijafanikiwa kupata gari nzuri ya kunikosha ambayo ni
- Economy (fuel consuption nzuri na spare parts si gharama),
- Confortable,
- Attractive,
- Unique,
- Stand out on its own (Yaani sio la kulinganishwa linganishwa)
- Family car (preferable 7 seater)
- Modern and stylish
- Iwe na Mwendo (Dar Kigoma isnipe mawazo)
Napenda gari iwe na clearence ya kutosha kwa chini na iwe imeenda hewani...sio nikisimama naiona hadi top roof yake......tayari nanayo baby walker hivyo natafuta kitu ya heshima zaidi kwa sasa....
Nimefikiria hizi hapa;
1. Porsche Cayenne
Sijui ulaji wake wa mafuta na spare sijui ka zipo sana Bongo...ila kwa ndani naona kitu imetulia....please mwenye ujuzi nayo nipatie info;
View attachment 1094532
View attachment 1094534
View attachment 1094535
2. Toyota Harrier
Wenyewe mnaita tako la nyani...japo mie sio mjuvi wa hizi models nashindwa kuiona tofauti ya hizi harriers hivo naweza ingizwa king. But please to share your experience on this car
View attachment 1094536
View attachment 1094537
3. Subaru Impreza AWD
Subari kiujumla sizijui kabisaaa, hivyo mwenye experience nazo, ntashukuru sana ukimwaga some details.
View attachment 1094546
View attachment 1094549View attachment 1094550
Ongeza hapo na toyota HIGHLANDER, gari tamu sana hutojutia pesa yako mkuu