Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Nawaza tu maana sijasikia popote ila wacha niishie hapa.
Kwa hiyo ukisikia kipundupindu utafurahi sana,mbona jamani mnakua na akili za kijinga hivi?Nawaza tu maana sijasikia popote ila wacha niishie hapa.
Tunza huu uzi.sikuamini wewe ndio Mwenye Uzi huu, miongoni kwa Expert member wenye heshima JF
Fikiri kwa mapana na marefu.Kwa hiyo ukisikia kipundupindu utafurahi sana,mbona jamani mnakua na akili za kijinga hivi?
Ahsante kwa taarifa hii ila najiuliza ni Morogoro tu?Morogoro tayari kipindupindu kimeshamiri.
Great thinkerNjaa na kipindu pindu kimya kimya.
Nawaza tu maana sijasikia popote ila wacha niishie hapa.
Taratibu watu wataelewa ni nini kinaendelea.Dodoma Wilaya ya Chamwino vijiji vya nzali, mlimwa n.k kimeshambulia vibaya sana.
mvua azijanyesha nadhaniNawaza tu maana sijasikia popote ila wacha niishie hapa.
Daktari atakae declare kipindu pindu katika eneo lake kesho atatumbuliwa.