Naona December ya mwaka huu wa 2016 haina kipindupindi

nilishindwa kuamini wewe ndio Mwenye Uzi huu, miongoni kwa Expert member wenye heshima JF

edit then useme, kutokan na mikakati ya usafi kila kina ya nchi Hali ni shwari walau Uzi wako utakuwa na afya

mwisho taja maeneo yaliyokumbwa
 
Ni tishio kwa watalii toka nchi za nje kwa hiyo milipuko ya magonjwa yoyote nchini au kuwepo kwa tishio la virus vya aina yoyote nchini ni lazima isitangazwe hadharani vinginevyo muhusika atatumbuliwa.

Daktari atakae declare kipindu pindu katika eneo lake kesho atatumbuliwa.
 
Nadhani mlipuko haujawa mkubwa sana kwa kuwa mvua naoana kama zimepiga chenga ambayo ni salama kwa ugonjwa huo, lakini hatari kwa janga la njaa na ukame. Kingine ni hii hofu ya viongozi wa maeneo husika kuogopa kutangaza matatizo kama haya. Sasa hivi inaonekana kama ni kosa la jinai kusema ukweli, na huku jukwaani ukweli unaitwa matusi. Sasa hapa ni suala la kuomba tu Mungu lisitokee hilo janga maana ni tatizo kwa watanzania wenzetu.
 
Hivi hakunaga dawa ya kinga..! Vaxination Like other diseases .. Sometimes magonjwa mengine huletwa watu wapate deal wapewe tender wapige pesa tu...
 
Back
Top Bottom