Naona chuki na visasi vikitawala CHADEMA wakipewa nafasi ya kuongoza nchi

GOAT25

Member
Nov 29, 2021
21
45
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
3,066
2,000

Mkuu, usiwazesana hata chadema ikipata nafasi ya kuongoza nchi mambo yatakwenza sawatu,achana na hawa walala hoi humu ambao wanaonyesha chuki iliyopitiliza hata kwa wafu, Mbowe his very smart, ikitokea hivyo atafanya kitu cha maana, from bottom of my hart nasema tena Mbowe his very smart man kuwahi kutokea kwenye siasa za upinzani Tanzania.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,569
2,000
..chadema ni chama chenye miaka zaidi ya 20.

..Na katika muda wote wa uhai wa chama hawajaonyesha matendo ya chuki na visasi.

..Vyama vya upinzani vya Tz ni vyama vya AMANI.
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
3,172
2,000
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
Mkuu, umeamua kuiacha ile ID ya zamani na kuamua kuitumia hii???
Mwandiko kama naufahamu vileeeee, unatokea kuleeeee BUKU SABA!
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
Lakini cha kushangaza ni kwamba, wakati ukiiona mioyo ya wana CHADEMA ikiwa imejaa chuki na nia ya kutaka kulipiza visasi, kwa upande mwingine unaiona mioya ya wana CCM ikiwa na furaha na nia ya kuwatendea haki hao CHADEMA. Hili halikukushangaza hata kidogo!

Unasema nchi yetu hii "imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja"; kama vile wanavyofanyiwa sasa hivi akina Mbowe na wenzao!

Watu wengine vichwa vyenu vimejaa matope.
 
Ranger9

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
290
1,000
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
Kwanini unahofia visasi? Kwani jambazi hili la kike kutoka nchi ya kigeni kuna maovu limefanya?
 
eliasmisinzo

JF-Expert Member
Aug 13, 2021
284
500
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
Aliyejaza chuki ni Yule alyeagiza kuwa "nakupa mshahara mzuri, nyumba na gari zuri halafu umtangaze mpinzani?". Kuanzia hapo Wakurugenzi wakawa wanakimbia fomu za wapinzani. Hali ikaendelea kwenye uchaguzi mkuu wa Oct 2020 ambapo ukaanzishwa mtindo wa kupita bila kupingwa. CCM kabla ya kupiga kura tayari Wana wabunge 80 wa kupita bila kupingwa. MAWAKALA wa upinzani wakaondolewa wengi, kura za bandia zikashamiri. Kwa hali hii, mwanzlishi wa chuki ni nani?
 
Mwanamlya

Member
Dec 6, 2021
89
150
Habari zenu

Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.

Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.

Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.

Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.

Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja

Asanteni

Mwananchi
GOAT 25
Amka kumekucha
 
Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
727
1,000
Mkuu hata ungekuwa ww kwa mambo wanayofanyiwa ktk nchi yao ni too much sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom