Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Kama hivi unavyoandika umemaliza Degree Mlimani basi ni halali chuo hicho kishuke hadhi yake kimataifa kwenye taaluma. Yaani wewe ulimaliza vipi hapo aisee?
Huu uandishi ni wa mtoto mdogo ambaye hajamaliza vidudu.
Sasa hapo tukusaidie jinsi ya kumchamba shemeji yako au tukusaidie namna ya kuuza maji?
Umeeleza mambo ya shemeji mengi kuliko la maji.
Toka kwa kaka yako kaishi pembeni huko. Kafanye biashara hata ya maji kwa kuanzia. Ila kwa akili yako hata maji hauwezi kuuza. Maji hayataki watu wajinga
Asante kwa kunikosoa nitarekebisha namna ya kuwasilisha hoja
 
Unaonaje aibu wewe?unaona aibu kuuza maji ila kuomba omba hela huoni aibu ,mi nilipomaliza chuo nilikuwa napata kila kitu home but ni aibu kukaa nyumbani au kwa ndugu .

Nilinunua masufuria sahani na glass ,nikaja kuacha hiyo kazi baada ya mambo kukaa sawa
 
Uza tu utapata connection za kazi uliyoisomea huko huko.Unaweza kukutana na vibopa kati yao ktk kuweka mazowea nao utashangaa akishajua elimu yako unakuweka mahali fulani na maisha yanaanzia hapo.

Usikatishwe tamaa,humu wengi wanaishi kwa mashemeji zao kama wewe lakini wanajifanya matawi.

Weka bidii ktk kazi hiyo na kikubwa uwe muaminifu,utanishukuru.
 
Unfortunately,the world owes you nothing!

Ulipaswa uone aibu kuishi kwa nduguyo ukiachiwa hela daily bila kujishughulisha kama mlemavu wa viungo.
 
Kuna dogo angu hapa anasoma ija chuo cha sheria yupo diploma 2 kaja kunipa hai pori nashangaa dogo asubuhi kaosha madumu 20 nikajua anafanya usafi mara kabeba boda kwenda kuchota maji na huku dumu buku nikajua huyu dogo jembe hapa nasubiri tarehe 18 aende chuo nikamatie kitengo dogo anauza hadi 30000 mafuta ya 5000
 
Safi sana yupo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom