Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Yasir alafati

Member
Jul 23, 2021
36
95
Kwanza mawazo yako ni negative sana. Hadi kufikia kugomnana na shemeji yako badili Kwanza mawazo yako ndo utakuwa tayari kubadili maisha yako
 

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,785
2,000
Kunywa hayo maji, na MO shida ni kushiba.
Kama vipi njoo kwa Mpemba anataka mtu wa ndani kupika mazaga hutaonekana ni fenced house, ila ukubali kuvaa apron ukiwa jikoni na uwe unaoga ili kuwa msafi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom