Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,545
32,157
Wadau wa JF
Salam natumaini mu wazima! mimi ni muhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia.

Kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuoni) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanisuta maana sijaitendea haki taaluma.
 
Watu wanasoma kutafuta vyeti tu maana waajiri hawaulizi unajua nini wao wanataka vyeti tu!! Hayo ndio matoleo yake watu hawataki kabisa kusoma kuongeza ujuzi bali wanasoma kupata cheti.

Hii ndiyo shida iliyopo Tanzania na ndiyo sababu ya vyeti feki kibao.
 
Taaluma ni juhudi ya mtu binafsi. Majengo, jina la chuo au Prof. waingizi maarifa kichwani mwa mwanachuo bali juhudi yako ya kujifunza. Hata ungeenda chuo gani kama husomi unataka kununua cheti hiyo ni juu yako juu ya chuo. Kuna watu wanashule yao ya ukweli toka MU wewe huna shule una cheti haya sasa tuone nani zaidi.
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
 
vipi ilipelekwa kwa external supervisor?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom