Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

Nadhani hili hata halihusiani na jambo lililopo mezani sababu la mezani ni mkataba wa two year na sio ule wa miezi sita.

Wamalize hili likishaisha anayeona hayo awasilishe naye sababu kila mmoja anaibua lwake saa hii.

Na bila umakini twiefuefu kutakuwa na kesi za Morisson tu.
tunajimwambafay
 
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili sakata ukiangalia kwa makini utaona hili.

BM Amejitia kitanzi mwenyewe

Wakati BM alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na Wasafi FM kupitia kipindi Cha sports Arena hapo ikiwa hajaingia mgogoro na Yanga alikiri kabisa amesaini mkataba na Yanga na akasema kabla ya kusaini Yanga alikuwa anatakiwa na team 3 za South Africa ikiwemo team ya Ajax Capetown. Huu Ni mkataba ule wa miezi 6 baada ya Yanga kuridhika na huduma Yake wakataka kumuongezea mkataba ndipo BM akasaini kwa miaka miwili baada ya kusaini BM akaongezea akasema baada ya yeye kusaini akawa anapewa maneno kwamba team ya Yanga hailipi mishahara wachezaji wake kwa wakati,haiendeshwi kiprofessionalism ndipo akaona Bora awaombe kuvunja mkataba nao huku Kuna baadhi ya offer akawa amepokea ikiwemo ya Simba.

Ukiachana na hapo tukaona email ya BM mtandaoni akiomba Yanga kucancel extension ya mkataba.kwenye Hili unajiuliza Kama ajasaini mkataba na Yanga inakuaje kwenye email yake anaomba acancel extension ya mkataba wake?

So ukitazama kwa ujumla wake bila ushabiki unaona kabisa jamaa anajifunga mwenyewe kwa Hali kama hii unaanzaje kumuamini BM?

Kwa upande wa Simba
Uongozi wangu wa Simba ulifanya kosa kubwa Sana kumtambulisha kumsajili Morrison mapema wangesubiri kwanza kesi ya Yanga na BM iishe Kama walivyoshauriwa na "Senzo" lakini kwa akili ya uswahili wa viongozi wakaenda against. Kwa maana hii Kama Yanga itashinda lazima watafungua kesi dhidi ya Simba kumsajili mchezaji wao mwenye "mkataba".
pole sana,huwa ramli zako iwe kwenye mpira siasa au michezo hazijawahi kuwa kweli,unakuwa na wrong guessing!
 
We bwege rejea mitapishi yako

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi tu ni kwamba Morrison alijichanganya na tamaa za mikataba ya hapa na pale,ata yule Eng Ers aliwahi kusema pale Wasafi kwamba BM alimfuata akamwambia kwamba amepata tm yenye mkataba mnono hivyo anaomba avunje mkataba na hapo ndipo ugumu ulipo kuja akaanza mgomo wa kutosafiri na tm to Shinyanga kucheza na Mwadui, so hapa BM anajaribu kuukana mkataba wake wa halali na Yanga, sidhan kama this time atabakia salama,maana ata huko alikotoka ilikuwa n vurugu tu, Pale Orlando Pirates, Mara As Vita. kote huko aliacha Gumzo na inavyoonekana akifika sehem anaanza vurugu ili mkataba uvunjwe ili awe free agent na apige pesa,BM anatumia ujanja wa watu wa A.Magharibi kupiga pesa.
Mmekomoka

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili sakata ukiangalia kwa makini utaona hili.

BM Amejitia kitanzi mwenyewe

Wakati BM alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na Wasafi FM kupitia kipindi Cha sports Arena hapo ikiwa hajaingia mgogoro na Yanga alikiri kabisa amesaini mkataba na Yanga na akasema kabla ya kusaini Yanga alikuwa anatakiwa na team 3 za South Africa ikiwemo team ya Ajax Capetown. Huu Ni mkataba ule wa miezi 6 baada ya Yanga kuridhika na huduma Yake wakataka kumuongezea mkataba ndipo BM akasaini kwa miaka miwili baada ya kusaini BM akaongezea akasema baada ya yeye kusaini akawa anapewa maneno kwamba team ya Yanga hailipi mishahara wachezaji wake kwa wakati,haiendeshwi kiprofessionalism ndipo akaona Bora awaombe kuvunja mkataba nao huku Kuna baadhi ya offer akawa amepokea ikiwemo ya Simba.

Ukiachana na hapo tukaona email ya BM mtandaoni akiomba Yanga kucancel extension ya mkataba.kwenye Hili unajiuliza Kama ajasaini mkataba na Yanga inakuaje kwenye email yake anaomba acancel extension ya mkataba wake?

So ukitazama kwa ujumla wake bila ushabiki unaona kabisa jamaa anajifunga mwenyewe kwa Hali kama hii unaanzaje kumuamini BM?

Kwa upande wa Simba
Uongozi wangu wa Simba ulifanya kosa kubwa Sana kumtambulisha kumsajili Morrison mapema wangesubiri kwanza kesi ya Yanga na BM iishe Kama walivyoshauriwa na "Senzo" lakini kwa akili ya uswahili wa viongozi wakaenda against. Kwa maana hii Kama Yanga itashinda lazima watafungua kesi dhidi ya Simba kumsajili mchezaji wao mwenye "mkataba".
Kushinda pekee ambako Yanga alikua anaweza kwa hizo 99.99% zako ni KUSHINDA NJAA
 
IMG-20200812-WA0087.jpg
 
Back
Top Bottom