Naomna msaada wa kitabu cha child labour

Juniors

Member
Jul 30, 2011
6
2
Habari kwenu wanajamii,

mm ni kijana wa kitanzania ninaesoma nchini india diploma of criminology nimepewa project proposal na maada niliochagua ni child labour, ninachowaomba hapa ni manija ya vitabu, mwaka uliochapishwa na jina la mtu wa hivyo vitabu vinavyozungumzia child labour in tanzania, au kama inawezekana na kuna kitabu cha child labour cha mtunzi kutoka tanzania au africa in general kinapatikana online naomba munitumie link ya hicho kitabu...

Ahsanteni
 
Habari kwenu wanajamii,

mm ni kijana wa kitanzania ninaesoma nchini india diploma of criminology nimepewa project proposal na maada niliochagua ni child labour, ninachowaomba hapa ni manija ya vitabu, mwaka uliochapishwa na jina la mtu wa hivyo vitabu vinavyozungumzia child labour in tanzania, au kama inawezekana na kuna kitabu cha child labour cha mtunzi kutoka tanzania au africa in general kinapatikana online naomba munitumie link ya hicho kitabu... Ahsanteni

Duh, hiyo taaluma ya Criminology naitamani kweli, hivi naweza kuisoma kwa on line?
 
Back
Top Bottom