Naomna msaada, napata maumivu ya misuli ya shingo mabega na mgongo

Zungu cheu

Member
Jan 11, 2019
6
0
jaman habar.. mim nina matatiza.. huwa napat san maumiv ya misuli ya shingo mabega na mgongo... nina zaid ya miez mi3.. na nimeshatumia san dawa tofaut tofaut bila ya manufaa yotote.. maumivu husambaa had kweny misuli ya mikono..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom