NAOMBENJ USHAURI. NI PSYCHOLOGICAL PROBLEM AMA NINI???

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Wakuu kwanza napenda kuwasalimu wadau wote kutoka Jamii forum,

Mimi ni kijana wa miaka 21 nimetimiza umri huo kama last 3 weeks hiv, kipindi Niko secondary form2 niliingia katika huu mchezo wa kujichua ama (punyeto) wengi wanavyofahamu , nimekuwa addicted na mchezo huo mwaka wa (7) sasa na namshukuru Mungu ameweza kuniongoza kwa miaka yote hii upigaji wangu kwa mwezi sikuwai kuzidi MARA 5, Naweza piga leo nikaja kupiga tena baada ya wiki moja ama ikizidi mbili na ni mpigo mmoja tu yani hiyo siku ninayopiga ni Mara moja tu ndani ya siku, Mchezo huu umenifanya niwe basically kwenye kujifaidisha mwenyew, kwa miaka yote hii tangu nizaliwe sikuwai kufany mapenzi (sex) na mwanamke yoyote yule. Kinacho nisibu ni kwmba ni mwaka na nusu sasa natumia mda mwingi kufikiria juu ya hilo swala LA nyeto kwamba naachaje na kwmba linaweza niletea matatizo baadae yani nawaza sana, CHA AJABU siku Nikipiga nyeto ile time ya kutoa manii kale kafeelings naona kabisa kama hakipo na Leo ni siku ya5 SIPATI MORNING ERECTION yaanai jogoo haamki asubui ila mda mwengine anakuwa poa tu, je NI PSYCHOLOGICAL PROBLEM AMA???

NAOMBENI MSAADA WAKUU

NA KIKUBWA SIKUWAI KUSEX SASA SIJUI NDO TATTIZO PIA??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo mawazo sasa ndo tatizo litakalo kusumbua kuliko mchezo wa nyeto wenyewe. fukuza huyo pepo kwanza wa hayo mawazo. then anza kuwa na uhusiano wa jinsia tofauti kwanza bila kusex mpaka uone unakuwa huru nae ili mawazo ya kuwa na tatizo yasiharibu utendaji wako wa sex hapo baadae. jambo muhimu kwa sasa usitumie dawa yeyote zaidi ya kucheza na mawazo yako yawe sawa.
kuhusu erection asubuhi ni matokeo ya hayo mawazo yako unayoanza kujichunguza na kuhesabu mapunguvu zaidi.

Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwanza napenda kuwasalimu wadau wote kutoka Jamii forum,

Mimi ni kijana wa miaka 21 nimetimiza umri huo kama last 3 weeks hiv, kipindi Niko secondary form2 niliingia katika huu mchezo wa kujichua ama (punyeto) wengi wanavyofahamu , nimekuwa addicted na mchezo huo mwaka wa (7) sasa na namshukuru Mungu ameweza kuniongoza kwa miaka yote hii upigaji wangu kwa mwezi sikuwai kuzidi MARA 5, Naweza piga leo nikaja kupiga tena baada ya wiki moja ama ikizidi mbili na ni mpigo mmoja tu yani hiyo siku ninayopiga ni Mara moja tu ndani ya siku, Mchezo huu umenifanya niwe basically kwenye kujifaidisha mwenyew, kwa miaka yote hii tangu nizaliwe sikuwai kufany mapenzi (sex) na mwanamke yoyote yule. Kinacho nisibu ni kwmba ni mwaka na nusu sasa natumia mda mwingi kufikiria juu ya hilo swala LA nyeto kwamba naachaje na kwmba linaweza niletea matatizo baadae yani nawaza sana, CHA AJABU siku Nikipiga nyeto ile time ya kutoa manii kale kafeelings naona kabisa kama hakipo na Leo ni siku ya5 SIPATI MORNING ERECTION yaanai jogoo haamki asubui ila mda mwengine anakuwa poa tu, je NI PSYCHOLOGICAL PROBLEM AMA???

NAOMBENI MSAADA WAKUU

NA KIKUBWA SIKUWAI KUSEX SASA SIJUI NDO TATTIZO PIA??

Sent using Jamii Forums mobile app

NI SAIKOLOJIKO.

NYETO SIO UGONJWA NA WALA SIO TATIZO, WEWE PIGA TU. ASIKUTISHE MTU KUHUSU HILO ACHANA NA HAWA WAGANGA WA KIENYEJI WANAOKUTISHA NA KUKUTIA WOGA MAANA HUO WOGA NDIO UTAKAO KUMALIZA NA NDIO UNAKUMALIZA.
 
Duh hujawahi kula tunda tamu toka uzaliwe? Huko wapi nikununulie mala.ya akutunuku tigo siku ya kwanza upige mayowe
 
Back
Top Bottom