Naombeni zile namba za msaada

Shadya

Member
Sep 14, 2011
87
37
Wandugu za jioni, tafadhalini naomba msaada mnijuze zile number za msaada kwa anayekumbuka kuna ndugu alitujuza juzi ila kwa bahati mbaya mimi sikuzichukua
 
Hizi no hazina faida ktk serikali legelege kama ya kwetu.
 
Hizi no hazina faida ktk serikali legelege kama ya kwetu.
mzee cha hasiraa ndugu yangu, mwenz+o jumamosi mie na washkaji wenzangu tumerudi kutoka kwenye kipati chetu kidogo ilikuwa ni mida ya saa saba usiku, tulipfika karibu na nyumba zetu tukakubaliana tupozi kidogo kwa mwenzetu ambaye ana kagrosari karibu na nyumba zetu ndipo tukaanza kusikia milio ya risasi ikiwaa inatokea juu upande wa jogoo mbezi beach huku yaani, iliendelea kulia kama mara nne hivi. Ila tetesi ziasema kuwa mida ya saa nne siku hiyo jamaa walifunga mitaa ya salasala na kuporapora pesa, sasa na mida ile ya saa saba kuelekea saa nane usiku eti walimvamia jamaa mmoja wahuko jogoo ndiko kulikokuwa kunatokea milio ya risasi. Labda kama kuna mwenye habari kamili atanirekebisha ni tetesi nilisikia milio hiyo ila sikushuhudia matukio.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom