Naombeni wazo niweke content gani katika YouTube yangu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,544
44,690
Humu ndani Kuna watu wakubwa wenye maono ndo maana nimekuja kuwaomba ushauri,mdogo wangu kanunua camera yake Nikon nzuri Sana Na anafanya production Ni mtaalam kanipa offer ya kunirekodi video ili niweze kuziweka kwenye YouTube nasikia ukifikisha subscribe 1000 wanakulipa hela.

Kwa hiyo nambieni nirekodi Nini maana comedy me sinaga nataka vitu serious Sasa sielewi nirekodi nafanya Nini au naongelea Nini ambacho hata nyie wenyewe mtakuwa mkinitazama.
 
Usifanye Jambo kama huna details za kutosha! Sehemu moja wapo ya kufanya kitu vizuri ni kuwa na details za kutosha ili uamue nini.. fatilia humu Kuna nyuzi zinazohusu YouTube.
 
Niche: Sports and Entertainment

Area: Sports Contents

Concept: It's my Idea in Bank if your able to pay PM.
 
Weka umbea kuhusu maisha ya mastar wa bongo,michezo hapo utatoka.Watanzania wanapenda umbea wa DiamondiZari ,Wema kuliko kula.Mtu yupo tayari akose msosi ila asikose hela ya bando ya kuingia youtube.Kila lenye kheri.
 
Weka umbea kuhusu maisha ya mastar wa bongo,michezo hapo utatoka.Watanzania wanapenda umbea wa DiamondiZari ,Wema kuliko kula.Mtu yupo tayari akose msosi ila asikose hela ya bando ya kuingia youtube.Kila lenye kheri.
Papa wengi hiyo bahari
 
Traveling content ndiyo zinapendwa sana though zina budget kubwa. Mwanzoni utapoteza pesa lakini gradually utaanza kutengeneza faida.
 
Namuoa mfano wa youtubers maarufu wanaopiga hela....wengi wanafanya hivi
1. Review za vitu mbali mbali kama bidhaa, huduma n.k
2. Wengi wanasafiri kila kona ya nchi au dunia na kuonesha vitu vinavyoshangaza..
3. Kuna wanaoonesha vyakula mbalimbali vya maeneo tofauti na maandalizi yake
4. Prank videos
5. Video za elimu na kuonesha jinsi ya kufanya mambo mbalimbali kama ufundi, na kazi jinsi zinazofanyika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom