Naombeni uzoefu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo

Naomba kufahamu kuhusu Bagamoyo kwa ujumla wake. Yaani chochote kuhusu Bagamoyo, mfano:
  • Tamaduni za watu
  • Life style ya watu wa huku
  • Uuzaji wa Ardhi ama viwanja ama mashamba
  • Kuhusu Kilimo
  • Elimu
  • Mwamko wa ki elimu ama ki Maendeleo Kwa raia waishio huku
  • Kabila waishio huku
  • Vyakula
  • Gharama za maisha
  • Ugumu na unafuu wa maisha
  • Imani za ki shirikina
  • Biashara kuu za huku
  • Uchumi wa huku
  • Starehe za huku (clubs, ngoma etc)
Yaani chochote kuhusu maisha ya watu wa Bagamoyo

Asante
Tangazo lako linahitaji lijibiwe na afisa wa ukuu wa wilaya. Nadhani yote uliouliza anaweza kukupa majibu ki fasaha. Umeuliza kutaka kujua mambo mengi hadi nashindwa kujua unadhamira gani na Bwagwamoyo yetu?....
 
_
Bagamoyo ni mji unaokua kwa Kasi Sana, maisha ya kule yako chini kidogo kulingwnisha na dar, mfano sahani ya wali / ugali kwa mama lishe ni 1000/, chips kavu 1000/ kilo ya nyama 6000/ n.k kifupi vyakula vyote viko chini sana...

Chumba kinaanzia 10,000/ na kina umeme, ukipanga chumba Cha 30,000 kwa dar ni 60k - 70k. Pia hiyo bandari bubu hapo ukiwa mjanja itakunufaisha Sana, watu wanapitisha magendo hapo balaa hasa mafuta kutoka zenji.

Ukiwa na mzigo kutoka zenji unaweza kuuvusha bila kusumbuana na bandari, mambo ni mengi Sana happy bagamoyo na fursa nyingi Bado ziko wazi tofauti na dar...
Asante sana
 
Back
Top Bottom