naombeni ushauri...!

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
nna 3 ya 14 ya hgk HIST-E,GEO-E na KISW D kwa matokeo haya nkasomee kitu gani na chuo gani?naombeni ushauri wa kiungwana ili npate suruhisho!!
 
Education inakufaa na mkopo uombe. Ila kama wewe suo mtoto mkulima kama sie omba vyuo private ujilipie na utapata vingi tu uchague mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom