Shida ni kumpata , si unajua muda wa kua majimboni badoHamuezi kufika kwa mbunge
Ada 1.2MAda sh ngapi
Angalieni ishu wa wazamini
Ada 1.2M
Ndo hvyo mkuu, kwenye shda lazma upambane peke yakoSio parefu wangeambiwa kuchangia harusi hata 5mil ingefika
Sijui tumerogwa na nn kuna wapare hapa kona walikuwa na tatizo kama hilo sema ada ya chalii yao ilikuwa 1.5 ila uko nyuma walichangia 3mil kwa ajili ya kesi iyo ada wameshindwa mpaka dogo kapostpone mwakaNdo hvyo mkuu, kwenye shda lazma upambane peke yako
Nkikupa namba y mfanyakaz mmoja wapo bodi zitakusaidia vip!?Wakuu habari za jioni
Nina mdogo wangu amekosa mkopo amefanya appeal ila bado hajapata chochote
Familia hatuna uwezo wa kumsomesha
Nishauri nn ?
Naombeni msaada hapa
Kwenye jamii zetu kuna ule wivu flani wa kwamba nkimsaidia mtu atanipita kimaendeleo kiuchumi na kielimuSijui tumerogwa na nn kuna wapare hapa kona walikuwa na tatizo kama hilo sema ada ya chalii yao ilikuwa 1.5 ila uko nyuma walichangia 3mil kwa ajili ya kesi iyo ada wameshindwa mpaka dogo kapostpone mwaka
Bodi wenyewe wameshafunga kutoa mikopo so namba sidhani kama inaweza nisaidia tena saivNkikupa namba y mfanyakaz mmoja wapo bodi zitakusaidia vip!?
Mkuu nadhan bodi washafunga kutoa mikopo ila naomba nisaidie na mimi kwaajili ya next year nina mdogo wangu kakosa pia mkopo na hawezi kabisa kutobia bila mkopoNkikupa namba y mfanyakaz mmoja wapo bodi zitakusaidia vip!?
Check inboxMkuu nadhan bodi washafunga kutoa mikopo ila naomba nisaidie na mimi kwaajili ya next year nina mdogo wangu kakosa pia mkopo na hawezi kabisa kutobia bila mkopo
Yah nishapata muongozo boss kakosaNatumae mleta mada ulipata muongozo...