Naombeni ushauri

Jkl

Member
Nov 22, 2019
33
46
Wakuu habari za jioni
Nina mdogo wangu amekosa mkopo amefanya appeal ila bado hajapata chochote
Familia hatuna uwezo wa kumsomesha
Nishauri nn ?
Naombeni msaada hapa
 
Ndo hvyo mkuu, kwenye shda lazma upambane peke yako
Sijui tumerogwa na nn kuna wapare hapa kona walikuwa na tatizo kama hilo sema ada ya chalii yao ilikuwa 1.5 ila uko nyuma walichangia 3mil kwa ajili ya kesi iyo ada wameshindwa mpaka dogo kapostpone mwaka
 
Wakuu habari za jioni
Nina mdogo wangu amekosa mkopo amefanya appeal ila bado hajapata chochote
Familia hatuna uwezo wa kumsomesha
Nishauri nn ?
Naombeni msaada hapa
Nkikupa namba y mfanyakaz mmoja wapo bodi zitakusaidia vip!?
 
Sijui tumerogwa na nn kuna wapare hapa kona walikuwa na tatizo kama hilo sema ada ya chalii yao ilikuwa 1.5 ila uko nyuma walichangia 3mil kwa ajili ya kesi iyo ada wameshindwa mpaka dogo kapostpone mwaka
Kwenye jamii zetu kuna ule wivu flani wa kwamba nkimsaidia mtu atanipita kimaendeleo kiuchumi na kielimu
So mara nying wanakusaidia kwenye jambo lisilo la maendeleo
 
Back
Top Bottom