Naombeni ushauri

Oct 21, 2010
13
0
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and downs...naogopa asije akatumia u-boss wa mzazi wake kunionyesha undava....nimuache au nimwambie la moyoni.....!!?
 
'MTOTO WA BOSI NI BOSI' huu ni msemo tu, mapenzi hayaangalii hilo chamsingi be serious2 hata huyo bosi wako (mzaz wa huyo dem) atakupenda kama mkwe.
 
tafuta kujua msimamo wake kuhusu wewe then kaeni chin mshauriane jinsi ya kuendesha uhusiano bila kuingza swala la uboss kwenye mahusiano
 
siku boss wako akijua anaweza mind kichizi na mwisho wa siku ajira ukapoteza na mtoto ukamkosa siku hizi mapenzi ya kweli oveer sidhani kama huyo mtoto atakung'ang'ania kama tuonavyo kwenye movie za kihindi na tamthilia za kifilipino.
 
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and downs...naogopa asije akatumia u-boss wa mzazi wake kunionyesha undava....nimuache au nimwambie la moyoni.....!!?

Kama wewe ni mwanaume kweli, kama utampenda kweli (maana kwa sasa umevutiwa tu), sioni sababu ya wewe kuogopa kuwa mtoto wa bosi (mkwe) baadae...
 
mwambie tu kwani hapo hakuna cha uboss ni mapenzi ya dhati yanatakiwa kwani kama anakupenda kwa dhati ww ndio utakua ze big boss sasa kwake ok........................just tell her now
 
mwambie tu kwani hapo hakuna cha uboss ni mapenzi ya dhati yanatakiwa kwani kama anakupenda kwa dhati ww ndio utakua ze big boss sasa kwake ok........................just tell her now
I also want to tell you now
 
jaribu uone cha moto.kazi nikupe,mshahara nikulipe yaani na mwanangu usarandie,lol,nakutimua fasta fasta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom