Labda mmewe hana uwezo wa kumpa mkewe mimba. Unakuta walipanga hilo dili ili apate mtoto. Mimi nakushauri, akijifungua mchukue mwanao. Hiyo ni damu yako. Huyo mwanamke ni mbabaishaji ndugu yangu. Pia utambue kuwa huyo akupendi.
je ulipata uthibitisho wowote kuhusu huo ujauzito??? je unafahamu anapoishi?? je unawafahamu rafiki zake wa karibu au ndugu??tangu akuambie hilo suala ni muda gani umepita??
Una uhakika gani kuna ni wewe uliyempa ujauzito? Kama aliweza kumsaliti mume wake wa ndoa atashndwa kukudanganya. Acha nae, mtoto akizaliwa nendeni hospitali mkadhibtishe then mchukue mwanao.