Nimetembelea site ya nifahamishe.com nikaona kuna jamaa wanajiita Triple B computer wanadai wanaingiza computer nchini from UK, kwa bei poa.. kuna mtu anaweza kunisaidi kama anawajua hawa jamaa au ofisi zao zilipo kwa hapa Bongo? isije ikawa ni ujanja wa mjini.
Asante!
Asante!