Naombeni Ushauri...

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Nimetembelea site ya nifahamishe.com nikaona kuna jamaa wanajiita Triple B computer wanadai wanaingiza computer nchini from UK, kwa bei poa.. kuna mtu anaweza kunisaidi kama anawajua hawa jamaa au ofisi zao zilipo kwa hapa Bongo? isije ikawa ni ujanja wa mjini.

Asante!
 
Hej man watch out !
Unahitaji CP za aina gani?Naomba nikusaidie. get me on Private messege ndugu.
Inawezekana wapo ila you need to get a litle advice.
 
computer hapa Bongo zimejaa kibao kuanzia used mpaka brand new za kichina zipo kibao tu, cku hizi hata km una vilaki 4 tu unapata mya ya kichina.so sio haja ya kuagiza comp kwa mtu usiyemjua. bora ujipange ununue hapa hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom