Naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Luthar, Aug 19, 2011.

 1. L

  Luthar JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wandugu zangu nipeni tu ushauri maana nimetafakari mpaka naona siwezi nilitokea kumpenda msichana mmoja tangia mwaka 2005 mpaka mwaka 2009 Nikaona nimwandikie barua nhkamwelewesha thumuni langu siyo kumchezea 2010Nilimtumia tena barua.kwa wakati wote ajanipa jibu nikajipa moyo kwasababu anasoma na mwaka huu ndiyo anamaliza masomo yake nishaurini nimfanyeje nampenda sanaa leo kwako kesho kwangu
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Achana na mambo ya barua kaka,
  Nenda kamueleze uso kwa uso,
  Kama vipi, utamuelewa mwenyewe kwenye maongezi!
   
Loading...