Naombeni ushauri wenu wana MMU juu ya huyu binti

Namba yako aliipata kanisani ndivo nimeeleawa,,means namba uliitaja kwa waumini wote???
 
Unampenda sana lakini yeye hakupendi...

Unasema anakupenda sana wakati umekuta ana maboyfriend zaidi ya 5+

Acha kujipa matumaini ya kijinga... tafakari chukua hatua...


Cc: mahondaw
 
Muha Kigoma hiyo ndugu utaendelea kufumania mpaka uchoke hao watu ni Hataree ndio wapo hata pale Itigi

Lakini upande wa pili Waha ni wazuri sana mwenye biashara wanajua sana kujibana mpaka mnatoboa maisha

Kama unandoto za kutoboa kiuchumi samehe saba mara sabini lakini kama una moyo mwepesi usitafutie matatizo ya moyo Achia ngazi mapema !!!!
 
Kuna tahadhari iliyotolewa humu, kuhusu baadhi ya wanawake kuambukiza watu UKIMWI kwa makusudi kabisa,
BTW si wanawake tu wapo pia wanaume...
Be careful
Mkuu nilipima nae kabla ya kufanya chochote yuko fresh
 
Cha kukushauri kajue afya yako kwanza na kabla hujaingia na mahusiano mengine jua status ya mwenzako muwezekua huru maradhi ni mengi siku hizi jionee huruma mkuu
Afya tulipima HIV wote tupo fiti
 
Yaani unaomba ushauri namna ya kumdhibiti shetani,huku mpo kanisani?
Subiri akuzawadie magonjwa ndipo itakukaa sawa.
 
Namba yako aliipata kanisani ndivo nimeeleawa,,means namba uliitaja kwa waumini wote???
Namba niliacha kwa wazee wa kanisa na kipindi naacha namba yeye hakuwepo lakini mmoja kati ya wazee wa kanisa ni mama mzazi wa huyo binti ila cha ajabu hata siku hiyo nimeacha namba huyo mamaake mzazi nae hakuwepo
 
habari za skukuu ndugu zangu,

Moja kwa moja kwenye mada

Kwa sasa niko morogoro, nilikuja morogoro mwezi wa tisa mwaka jana,
Kama kawaida nilienda kanisani na siku hiyo ikipofika wasaa wa wageni kujitambulisha nikasimama nikajitambulisha na baada ya ibada nikaacha namba zangu za simu kwa viongozi wa kanisa(walokole huu utaratibu nafiri mnauelewa)

Basi zkapita kama siku mbili tatu, sikumoja usiku kama saa tatu ikaingia meseji kwenye simu yangu

MAMBO?

nikajibu
POA NANI?

akanijibu samahani nimekosea namba?
Basi mimi nikamuuliza kwani ww ni nani na unamtafuta nani?
akaanza kunitumia sms za utani utani mpaka nikaona kabisa huyu mtu ananijua ila ananichezea tu mi nikampotezea,
Basi kesho yake asubuhi nikaona meseji

TOKA NJE UNIONE, NIKO HAPA NJE KWAKO,

Mjeda nikafunua pazia ya dirishani kumchungulia kwanza kabla ya kutoka nje,
Lahaura 💆
Nikamuona ni yule binti mkali kabisa nilimuona kanisani na alikua anaonekana mpole sana sikutegemea kama angekua na confidence ya kunifuata mpaka kwangu,
Basi mjeda nikajikoki pale nikatoka nje kwenda kusaliniana nae
Na hapo safari yetu ya mapenzi ikaanza
Ndani ya wiki moja nilimgegeda siku sita,
Lakini cha ajabu siku moja nilishika simu yake aisee kwa haraka haraka niligungua yuko na maboyfriend si chini ya watano,
Kwakweli nilifadhaika sana kwani sikutegemea kabisa ukizingatia tayari nilikua nimeshampenda sana,
Na kikubwa zaidi kanisani kila siku yumo, mafundisho yumo,
Dah ilibidi nijifanye kama sijui nikaenda nae hvo hvo
Yeye ananipenda sana na mara nyingi anakuja kwangu ananipikia kaz anafanya na anarudi kwao,

Kiukweli mimi nimeshampenda na satak kumuacha na tumeshahaidiana kuoana

Sasa cha ajabu leo nilikua nae na nimeshiriki nae tendo la.ndoa lakini baada ya kumaliza akapogiwa simu na mtu aliyekua amemsevu ONLY YOU
alipopokea hyo simu, akamuambia ampigie baadae
Niligombezana nae juu ya hyo simu mpaka tumekorofishana,

Na mpaka sasa sijamtafuta tena, wakuu naombeni ushauri wenu nifanyeje na ukizingatia huyu binti ninampenda mno,

Je, nimuache kimyakimya au nimuite nimkalishe chini nizungumze nae?
Najua wengi mlioshakutana na hali hii hususa ni pale mtu unampenda sana na anakufanyia kosa kama hilo je, unachukua hatua gani,

Naomba nijibu kama wewe ndo ungekua mimi ungechukua uamuzi gani?

Kuna sehemu umekosea kidogo hujafanya nae tendo la ndoa ila umezini naye.

Mungu atusamehe .yaani.walichukua namba yako kama wanavyofanyaga wa mataifa kwa ajili ya kukumiliki.
 
Tafuta mbadala wa huyo mwanamke ..kuwa makini usiache kupiga mechi na pia usiache kutumia mipira (condoms) ,papuchi ikikaa mkao kula hadi ichakae
 
Sexually desire VS Reality , mtu unaona boom harafu unalichokonoa kwa mikono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom