Naombeni ushauri wenu wana MMU juu ya huyu binti

Hakufai huyo ana pepo la ngono mkuu, ktk siku saba za wiki umemgida mara 6? Hatari kuliko neno lenyewe. Kwa wengine ndani ya wiki hiyo atakuwa amegidwa mara ngapi?
 
Sasa cha ajabu leo nilikua nae na nimeshiriki nae tendo la.ndoa lakini baada ya kumaliza akapogiwa simu na mtu aliyekua amemsevu ONLY YOU
usipoacha ujinga utaumia utachakaa, narudia tena utaumia utachakaa. kalaga bhaho
 
Mzee baba wanawake kumbe ulikuwa huwajui wewe mwenyewe umempata kirahisi ivyo tena kaja mwenyewe geto sasa kwa nn uyo shemeji asiwe na wanaume wengine ulivyompata kirahisi ujue na wenzako wamempata kiuraisi ivyo ivyo so ulimkuta hana bikra
 
sure, utamu wote wameumaliza atabaki na sumu tu kama hatajiondoa
Ukiendelea kukaa naye utalia kiasi kwamba hata njia hatuweza kuiona mwanamke akishakuwa na wanaume wengi na umegundua basi mtoe moyoni mwako huku unaendelea kula Tunda maana ipo siku atondoka mwenyewe so hauhitaji kumfukuza physically ila moyoni mtimue mkuu ili usije kuumia nshakutana na hiyo hali najua nachokisema,kwanza kabisa ukimpenda utateseka maana hautamuamini kamwe, akiwa mbali na upeo macho yako ukatuma text halafu asijibu utaanza kujenga mapichapicha kichwani hautaweza kufanya hata kazi zako, nakwambia tu run for your happiness
 
Kama unandoto za kutoboa kiuchumi samehe saba mara sabini lakini kama una moyo mwepesi usitafutie matatizo ya moyo Achia ngazi mapema !!!!
great
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom