Naombeni ushauri wenu wakubwa zangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri wenu wakubwa zangu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Frank lwakatare, Jul 5, 2011.

 1. F

  Frank lwakatare Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko form four,nataka nije niwe mwanasiasa mzuri na anaye jua sheria.nishaurini ni fanyaje na niwe na malengo gani hadi chuo ili kufanikisha ndoto zangu?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we somea comb kwanza..
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hkl, law, PS..
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  achana na siasa wewe..!unajitafutia dhambi za bure..!
   
 5. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ni swali gumu kidogo. Ila ningekushauri usome combination za arts pale utakapoflka form 5. Na pia utakapofika wakati wa kwenda chuo,basi utasomea sheria. Ila jitahidi kuwa mtu unayependa kujifunza mambo mbalimbali yanayohusiana na siasa ili uweze kujua mazuri na mabaya ya siasa.
  Na inapendeza kusikia wewe ni kijana mwenye moyo wa kupenda kujifunza. Ila tu,usilazimishwe na jamii kuwa mpenzi au mwanachama wa chama fulani cha siasa. Bali fuatilia sera na mwenendo wa kila chama. Amani iwe kwako ndugu.
   
Loading...