Naombeni ushauri wenu na masahada tafadhali juu ya Swala Hili linalo nikabili mwana forum mwenzenu

Huyo demu achana nae usiumize kichwa naye atakuja kukuua ukimbembeleza ,wanawake hawanaga akili ndugu ,Naamini Mungu atakupa mwingine
 
Hutoa anapojisikia yeye ndio anaanza kuomba msamaha kwa ujinga anao fanya pale anapo ni nyima na Mimi nikikaa kimya muda mrefu bila kumuomba tunaishi Kama marafiki uzalendo ukimshinda ndio anakuja na machozi yaani nashindwa kujua shida yake hasa ni nini wakati mwingine naweza Sema marafiki zake pia humshauri ujinga kwanza marafiki zake wote wameachwa na mabwana zao naniwatu wazma wenyekumzidi umri Sanaa tu hao ndio hua wanawasiliana mara kwa mara nakutembeleana majumbani Jana nilikuta SMS ya rafiki akimshimikiza kuondoka chumba amesha mpatia.
huyo mwanamke ni kabila gani??
 
Hizo document za bakwata ni stage ya kwanza kabisa katika swala la talaka na sio mwisho mkuu, baada ya kutoka bakwata mnapaswa kwenda mahakamani na mahakama itoe maamuzi juu ya hio talaka/kugawana mali mlizochuma pamoja/malezi ya mtoto.

Haya ni mambo matatu mahakama lazima iyatolee hukumu, hukumu ya bakwata juu ya talaka na mtoto haina nguvu kabisa kisheria, mtu yoyote anaweza kuipamgua hayo maamuzi ya talaka ya bakwata.

Kuhusu talaka, mahakama itaangalia hukumu ya bakwata na itaangalia hoja zenu pande zote mbili juu ya maombi yenu ya talaka, na itaangalia kama ndoa yenu imevinjika na kufikia hatua haiwezi kutengenezeka tena (yani kupatanishwa). Hapo itatoa talaka.

Hatua ya pili, mahakama itaangalia mali mlizochuma mkiwa pamoja, kwenu nyinyi si jambo gumu sana kwani nyote mnafanya kazi, hivyo hakuta kua na mavutano zaidi ya mali/vitu mlivyopata kwa pamoja. Itagawanya mali baina yenu. (Mali ulizochuma kabla ya kumuoa hazita husishwa kwenye mgawanyo).

Hatua ya tatu, mahakama itaangalia nani kua mlezi wa mtoto, kile kipengele cha miaka 7 ni general rule tu kama mkuu alivyosema. Hapa anaweza akapewa mama yako kua mlezi wa mtoto mpaka afikie umri fulani, na unaweza usipewe wewe kumlea wala mke wako (inategemea na maombi yatakavyo fanywa mahakamani, mama yako anaweza akafanya maombi amlee yeye na akapewa kama tu atathibitisha mbele ya mahakama kua mtoto akilelewa na wewe au mke wako hatapata malezi bora/huduma bora - hii inaweza ikashika nguvu kutokana wewe unakua kazini kuanzia asubuhi mpaka jioni pia mkeo hivyo hivyo nae, la pili mama yako kamwangalia/anamwangalia muda wote mkiwa hampo = mtoto amekua vizuri bila shida yoyote).

Akipewa mama yako mamlaka ya kumlea, basi wewe na mkeo mtaamrishwa muwe mnampatia kiasi kadhaa cha fedha kila mwisho wa mwezi kwaajili ya kumwangalia mtoto. Mfano wewe uwe unatoa laki1 na mkeo anatoa laki1.




Asikutishe na hivo vi simu vyake kwa mashoga zake huyo, akienda mahakamani ndo atajua madhara ya ujinga anaofanya. We ukienda mahakamani hakikisha unaweka ombi la mtoto kulelewa na mama yako (halafu yeye mpake matope ya uso kisawasawa kuanzia anatoka saa 1 asubuhi na kurudi saa moja usiku, kumpiga mtoto akilia njaa, tatu mama yako ndio muaangalizi mkuu wa mtoto mpaka sasa)
Hahahaha!!!!!nice advice, I like this
 
Mmh something is telling me huyo beki tatu huyo ndo chanzo cha tatizo
Hujamla kweli alafu wife akagundua?
Tatizo la wanawake wengi hasa wake zetu, namna wanavyo mtreat dada wa kazi, wanataka vivyo hivyo na wewe umtreat mdada huyo kama afanyavyo yeye.

Mfano, kama anamkaripia mara kwa mara, atataka nawe baba wa nyumba umkaripie vivyo hivyo, jambo hili linaudhi sana hasa pale mwanamke anapotaka mwanaume ufikirie na kutenda kama yeye anavyomuwazia dada wa kazi ambaye anaumri sawa au kumzidi kidogo tu binti yako!
 
Back
Top Bottom