Naombeni ushauri wenu kuhusu kuwa na shares kwenye kampuni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri wenu kuhusu kuwa na shares kwenye kampuni..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Shigo Siyc, Feb 7, 2012.

 1. S

  Shigo Siyc Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba ushauri wa kuweza au kunipa hatua ambazo ninaweza kuzifuata ili niwe na shares kwenye kampuni fulani..
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu unazungumzia kampuni gani? make kuna kampuni za aina mbili,
  1. Private company
  2. Public company

  1. Private comapny ni hizi kampuni ndogo ndogo au kubwa ambazo haziko kwenye masoko ya hisa
  2.Public company ni hizi campuni ambazo ziko kwenye masoko ya hisa kama TBL, CRDB, NMB, TWIGA CEMENT NA KAZALIKA

  - Unapo zungumzia kuwa na share kwenye private company inategemeana na uhusiana wako na wamiliki wa kampuni kama mnauhusiano nao wanaweza kukukingiza ukawa moja wa Director of Company, ila inategemea katiba yao au atrical of asociation ya kampuni inasemaje
  - Na hapa mara nyingi uanweza pewa hisa kiasi kulingana na mwongozo wao na waanzilishi wa kampuni mara nyingi hupenda kubakia na 51% ya hisa zote ili kulinda Idea yao na kuepuka watu wenye nia mbaya wasije kuteka wazo la kampuni so wanao salia hupewa 49% ya hisa zote

  2. Kwenye public comapany mkuu hapo ni kuenda Dar stock exchange tu ukanunue hisa kule.

  NGOJA NA WENGINE WAKUJIBU ZAIDI
   
 3. S

  Shigo Siyc Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanx broda nimekuelewa vzr..
   
Loading...