Naombeni ushauri wenu kuhusu biashara ya mpira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri wenu kuhusu biashara ya mpira

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by David webb, Aug 26, 2012.

 1. D

  David webb Senior Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanandugu naombeni msaada tafadhari, mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa dar(hasa mpira wa ligi kuu ya Uingereza)je vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo nifikirie kingine cha kufanya.Wadau naombeni msaada wetu please.kufanikiwa kwa hili ndo mwanzo wa biashara nyingine.


  Asante natanguliza shukrani
  wenu mdau katika jamii forum.
   
 2. Msamiati

  Msamiati R I P

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Nini malengo ya hiyo biashara unayotaka kufanya? You want to make life or you want to make changes
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Msamiati,

  I think he wants both.
   
 4. Msamiati

  Msamiati R I P

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Mh! siamin kama ataweza kumanage kufight for both life & changes
  lakini nitajaribu kumpa idea
   
 5. Msamiati

  Msamiati R I P

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Kaka andaa vijana wawili utakaofanya nao kazi wawe good movie wachers nitakupa idea Nadhani itafunction
   
 6. chash

  chash JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hiyo biashara tafuta kuweka kwenye eneo lenye umati wa watu wasio na uwezo wa kufunga dstv. zaidi uswazi. Screen iwe kubwa iwezekanavyo na clear kabisa bila chenga. Funga DSTV na uweke viti au mabenchi ya kutosha. premier League itakuingizia hela. Kama upo uswazi wakati hamna ligi utapata hela kwenye video za movies
   
Loading...