Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j