Naombeni ushauri wanajamvi. Nawezaje kuacha huu mchezo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Mimi ni kijana ambae nilidisco love mwaka 2010 . Tangu mwaka 2011 nilikuwa napenda kununua wanaouza miili. Ila nlikuwa napenda kula tigo. Hiyo tabia imejijenga hadi sasa natamani kumuingilia huyu mpenzi niliyenae kinyume. Naombeni ushauri ni jinsi gani, naweza kuacha huu mchezo wa kula tigo. Japo ni tamu lakini niko willing kuacha kabisa. Msaada plz
 
Hivi na wewe ukiingiliwa kinyume utajisikiaje?
 
Weka dhamira kabisa utaweza, ukiwazia Tu kuwa hupendi hutaweza kuacha. Pungiza kuangalia porn movies
 
Dhamiria kwanza kuacha

Lakini bado wewe ulikuwa unajifunza
vitu ambavyo ni tatizo kwanza kwako
wewe mwenyewe na huyo unayemwingilia.

Acha ndg maana wewe ni wazi liwakalo
moto bila kuni.
 
Fikiria athari zake thn ukishajua na km kweli una dhamira na huyo mdada na unamrespect utaacha otherwise is upto u to decide ur future

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ah ah duh yaani Haka kajamaa kubalehe tu kanajua kula Tigo....so malegendare hata kuchungulia tu uwani twajishtukia....sass ngoja wakupige bomba nod utajifunza au hujui bahasha hubaishiwa....
 
Back
Top Bottom