Naombeni ushauri wadau, hili ni tatizo gani?

BLACKTYGA

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
215
250
Jibu
Kama maumivu hayo yanaambatana na mkandamizo kifuani katikati upo uwezekano una Gastric Hernia/hiatal hernia.
Na mara nyingi huusisha maumivu ya misuli ya moyo na mkandamizo wa kifua kuznzia kwenye misuli ya diaphragm.
Tiba asili ni bora naweza kukusaidia dawa.
 
Kirumberumbe

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
371
500

Mkuu; Kama ajali ya kuteleza haikuwa kubwa uwezekano wa Hiatal hernia ni mdogo sana. Hata hivyo Hiatal hernia ikiwa ni ya kiwango kidogo haiwi na maumivu sana au haina maumivu kabisa na mara nyingi huisha yenyewe i.e. Tumbo hujirekebisha lenyewe..Lakini kama hernia ni ya kiwango kikubwa itahitaji upasuaji/surgery ili kurekebisha kwa kuivuta sehemu ya mfuko-tumbo (Stomach) iliyojipenyeza na kuingia juu ya kiwambo kinachotenganisha TUMBO na KIFUA (Diapragm) kupitia tundu asili llililopo kwenye Diaphragm pale inapopita njia ya chakula kuingia tumboni.

Mimi nashauri afuatilie vipimo vingine kama walivyosema Wadau hapo juu - Maabara tofauti-tofauti na ahusishe pia na wataalam tofauti katika mahospitali mbalimbali.
 
The_bushman

Member
Jun 29, 2018
92
125
Habari mkuu...kwa dalili hizo inawezekana ukawa na vidonda vya tumbo ambavyo vishapanda juu had kwenye duodenal (duodenal ulcers) ..jaribu kujichunguza tumbo linauma hasa kabla hjapata chakula au baada ya kupata chakula...Au tafuta kuna kidawa kinaitwa Eno sachet kichanganye na grasi ya maji kunywa pale tumbo linapouma then tulia km dk 10 ikitokea limepoa bas hvyo n vdonda vya tumbo....pole sana
 
BLACKTYGA

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
215
250
Mkuu ; Kama ajali ya kuteleza haikuwa kubwa uwezekano wa Hiatal hernia ni mdogo sana. Hata hivyo Hiatal hernia ikiwa ni ya kiwango kidogo haiwi na maumivu sana au haina maumivu kabisa na mara nyingi huisha yenyewe i.e. Tumbo hujirekebisha lenyewe..Lakini kama hernia ni ya kiwango kikubwa itahitaji upasuaji/surgery ili kurekebisha kwa kuivuta sehemu ya mfuko-tumbo (Stomach) iliyojipenyeza na kuingia juu ya kiwambo kinachotenganisha TUMBO na KIFUA (Diapragm) kupitia tundu asili llililopo kwenye Diaphragm pale inapopita njia ya chakula kuingia tumboni.
Mm nashauri afuatilie vipimo vingine kama walivyosema Wadau hapo juu - Maabara tofauti-tofauti na ahusishe pia na wataalam tofauti katika mahospitali mbalimbali.
Ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.

Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
 
Kirumberumbe

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
371
500
ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.

Mkuu; nashukuru kwa angalizo. Ila labda nikuangalize kidogo na pia rejea visababishi vya Hernia.
 
UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
481
500
ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.
Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
Sasa ninamaliza mwaka nikitoa kinyeshi laini mithili ya kuharisha!Nikichelewa kula ninakuwa dhaifu mno!Tumbo linajaa sana gesi
 
UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
481
500
ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.
Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
Tumbo linajaa mithili ya puto!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom