Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,828
Hii kitu sababu ameshapima pima sana. Hapa madaktari wake wanashindwa kunyumbua ukali wa kikohozi, wakat gani? Na hii ya kifua kumuuma zaidi wakat amelala. Ni tatizo la moyo
Dada una madini tosha kumbe kule unaamuaga tu kujichetua just for fun big up.Baada ya kufahamu lung capacity ndio anaweza kuanza kutibiwa na Salbutamol na Prednisone. Antibiotics kama ana chest infection