Naombeni ushauri wa tiba wa ugomjwa huu

nyahinga jr

nyahinga jr

Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
36
Points
125
nyahinga jr

nyahinga jr

Member
Joined Jul 28, 2016
36 125
COPD maranyingi huwa pata watu wa 50+ lakini mazingira ya mgodini ni risk factor.

Anza vipimo vya lung function kwanza.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia akafanye chest x-ray na Lung function test.
It might be helpful katika kujua what's up with him !
As far as pneumoconiosis is concerned.
Pia uvutaji wa sigara huchochea sana kutokea kwa ugonjwa wa mapafu kuwa mazito(emphysema) ugonjwa ambao ni among of COPDs
 
Bikini

Bikini

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2018
Messages
219
Points
250
Bikini

Bikini

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2018
219 250
Isije kuwa ni TB mkuu,
Maana ule ugonjwa un visanga sana pia siyo rahisi kuugundua unaweza kwenda hospital zote, tatizo nililogundua ni kuwa mahospital yetu mengi wanafanya kazi kwa mazoea sana na majibu mepesi mno.....kuna kipimo nimesahau baada ya kupima makohozi ukakosa jibu kuna kifaa inapimwa damu kiundani sana sijui then tatizo lako linakuwa lishajulikana..
 
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,833
Points
2,000
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,833 2,000
Nipo kwenye msiba muda huu Kuna mama mstaff kilichomuuwa ni hicho hicho kifua

Pambana update tiba mkuu bado familia na taifa tunakuhtaji
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
35,392
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
35,392 2,000
Pole sana... natumae umeyaelewa majibu uliyopewa...Cc: mahondaw
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
23,472
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
23,472 2,000
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
Ina maana huwa unajiona umewazidi nyani akili eti?
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
23,472
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
23,472 2,000
Una tatizo la mzio.

Yaani Allergy.

Ingekuwa unakohoa continues ningeamini (angalau kabla ya vipimo) kuwa mapafu yamepata changamoto.
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,749
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,749 2,000
Nipo kwenye msiba muda huu Kuna mama mstaff kilichomuuwa ni hicho hicho kifua

Pambana update tiba mkuu bado familia na taifa tunakuhtaji
Ndugu yangu maisha ya mwanadamu yanafahamika fika fika huwezi ishi milele twapita tu ,
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,749
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,749 2,000
COPD maranyingi huwa pata watu wa 50+ lakini mazingira ya mgodini ni risk factor.

Anza vipimo vya lung function kwanza.
Hemu naomba unisaidie kujua gharama , ili nijue najipanga vipi
 
M

Mipango miji

Member
Joined
Feb 3, 2017
Messages
59
Points
125
M

Mipango miji

Member
Joined Feb 3, 2017
59 125
Dodoma kuna Dispensary moja ipo majengo sokoni, ni ya wachina wanatibu vizuri sana. Kuna ndugu yangu alikua anasumbuliwa na tatizo kama lako, wana mashine nyingi za kutafuta tatizo na hatimae kulitibu
 
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,778
Points
2,000
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,778 2,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYWA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Nakushauri nenda kaanze tiba ya kinga ya tb sio dawa za tb bali kinga ya maambukizi ya tb utanipa mrejesho baada ya miezi 6
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,755
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,755 2,000
Kuna tiba moja unaishau nayo ni MAOMBI. Hakuna kinachoshindikana ukiamini na kusali.

Nenda ukaombewe na uhakika utapona mazima.

You will thank GOD later.
Namshangaa anakata tamaa kama vile Mungu hayupo au ameshindwa hilo tatizo lake...!`
 
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
9,264
Points
2,000
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
9,264 2,000
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
Antifungal
Btw- hx kazi zake ni mhimu- mwadui kuna mgodi na kama ni mchimbaji inaweza kuhusiana na tatizo lake.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,206
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,206 2,000
Mkuu
Hata kiasi cha kuanzia huwezi fahamu
tuulize wote gharama humu tunaweza kupata msaada. Kwa wanaofanya kazi hospitali au walioguza ndugu na jamaa.

Ukipata clinic nzuri ya Respiratory diseases utanufaija sana.
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
11,445
Points
2,000
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
11,445 2,000
Nenda kwa mganga tiba asilia
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYWA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
 
M

Mamishale

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Messages
228
Points
250
M

Mamishale

JF-Expert Member
Joined May 23, 2019
228 250
Pole sana.Mbona tatizo lako ni dogo sana.Wapo waliokuwa na makubwa kuliko yako lakini yamekwisha na sasa wanadunda kama kawaida.

Inaelekea hujafika kwa huyu mganga au daktari wa uhakika ambaye nataka nikuagizie anapatikana hapo Shinyanga karibu na hapo nyumbani kwako.

Hata mimi nikipata shida namwita ananisaidia sana.Usifikirie kuhusu fedha za matibabu na dawa.Gharama yako wewe ni kuamini atakalokuambia na kulifuata.Gharama nyingine anakulipia yeye.

Ni mganga mzuri na wa uhakika . huyu anaitwa Maombi.Kupitia Jina la Yesu Kristo.
Nenda kwenye kanisa lolote linalomubiri Kristo.Hapo watumishi watakuombea na huo utakuwa mwisho wa shida yako.Chukua hatua sasa utapokea uponyaji kupitia kanisa ni, mikutano ya kiroho na hata kupitia watumishi wa Mungu.Gharama ni bure.

Usidanganyike wa Ganga wa kienyeji hawana dawa yoyote usihangaike nao watakumaliza
 
MNANSO

MNANSO

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Messages
2,095
Points
2,000
MNANSO

MNANSO

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2015
2,095 2,000
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
Asante sana, nimejifunza kitu. kuanzia sasa iliki hazitakosekana kwangu, nitatumia mara kwa mara kwaajili ya afya yangu
 
Forum statistics

Threads 1,342,652
Members 514,741
Posts 32,758,759
Top