Naombeni ushauri wa tiba wa ugomjwa huu

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
16,156
Points
2,000

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
16,156 2,000
unasema unakohoa bila makohozi halafu kwenye kupima ulipima makohozi, how??

Nenda kapime X Ray ya kifua utapata jibu. Kwa hizo dalili I guess something like pulmonary oedema (maji kwenye mapafu), ila vipimo ndio vitatoa majibu sahihi.
Hii kitu sababu ameshapima pima sana...

Hapa madaktar wake wanashindwa kunyumbua Ukali wa kikohozi , wakat gan?? Na hii ya kifua kumuuma zaidi wakat amelala .

Ni TATIZO LA MOYO...
 
doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
2,171
Points
2,000

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
2,171 2,000
Japo si mtaalam sor far nimeone shauri mbili zilizo kwenda shule (Sky Eclat & Tonito 120. Muhusika pitia na zifanyie kazi.

Japo kibongo bongo madaktari wengi sijui ugumu wa kazi au mazingira si rafiki, unakuta mpaka mgonjwa umuulize hiki vipi unicheck ? Wao maralia na uti ndio huwa mbio kukimbilia yan ndio kama default.

Dr lazima uwe na roho ya kiuchunguzi na udadisi, wagonjwa wengine hawawezi kufunguka mpaka wapewe hint na labda kwa mazoea ya tiba asili wanadhani labda Dr ni kama sangoma atajua tu anaumwa nini kama kupiga ramli.
 
Alinda

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2008
Messages
1,679
Points
2,000

Alinda

Platinum Member
Joined Jun 26, 2008
1,679 2,000
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
Asante kwa shule ya Iliki..
Ukimsoma vizuri mazingira anayofanyia kazi uwezekano wa COPD au Asthma ni mkubwa..
Pia dawa alizopewa kuna dawa za.Allergy, dawa ya kutuliza kikohozi (ndo ile alisema anapata nafuu maana anakunywa dawa ya kutuliza..kawaida alitakiwa wampe na dawa ya kukohoa hasa mchana ili makohozi yatoke yasibaki kwenye mapafu) na kuna Antibiotic...kuua Bacteria..

Na kwa kuwa Madk wengj hawana utalaam sana wa COPD na hata hivyo dalili za Asthama na COPD zinafanana hivyo ni Muhimu aende kwenye hospital kubwa wamfanyie uchunguzi wa kina.
 
Alinda

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2008
Messages
1,679
Points
2,000

Alinda

Platinum Member
Joined Jun 26, 2008
1,679 2,000
Hii kitu sababu ameshapima pima sana...

Hapa madaktar wake wanashindwa kunyumbua Ukali wa kikohozi , wakat gan?? Na hii ya kifua kumuuma zaidi wakat amelala .

Ni TATIZO LA MOYO...
Tatizo Kuna magonjwa ya mapafu dalili zinafanana sana. Pamoja na kuchukua historia ya mgonjwa ni muhimu pia kuchukua vipimo vya awali..

Kitu ambacho sijaelewa tatizo gani la moyo linaloweza sababisha kikohozi?
Angina Pect. Nj maumivu ya kifua
 
GRAPHENE

Member
Joined
Mar 4, 2019
Messages
9
Points
45

GRAPHENE

Member
Joined Mar 4, 2019
9 45
Labda itakusaidia, kama tatizo linakupata Usiku. Angalia shuka au Blanketi unalojifunika. Nilishawahi kupata shida kama hiyo kipindi flani huko nyuma. Ilikua ni kifua kikali kinoma unakohoa ila hakuna makohozi. Unaenda hospitali hakuna tatizo, at last nilikuja kugundua blanketi ninalotumia manyoya yake yanatoa vumbi flani ivi jepesi saana. Nilivobadilisha tu na kifua kikakoma.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,890
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,890 2,000
Asante kwa shule ya Iliki..
Ukimsoma vizuri mazingira anayofanyia kazi uwezekano wa COPD au Asthma ni mkubwa..
Pia dawa alizopewa kuna dawa za.Allergy, dawa ya kutuliza kikohozi (ndo ile alisema anapata nafuu maana anakunywa dawa ya kutuliza..kawaida alitakiwa wampe na dawa ya kukohoa hasa mchana ili makohozi yatoke yasibaki kwenye mapafu) na kuna Antibiotic...kuua Bacteria..

Na kwa kuwa Madk wengj hawana utalaam sana wa COPD na hata hivyo dalili za Asthama na COPD zinafanana hivyo ni Muhimu aende kwenye hospital kubwa wamfanyie uchunguzi wa kina.
Baada ya kufahamu lung capacity ndiyo anaweza kuanza kutibiwa na salbutamol na prednisone. Antibiotics kama ana chest infection
 
mathew2

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Messages
606
Points
250

mathew2

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2009
606 250
Kuna tiba moja unaishau nayo ni MAOMBI. Hakuna kinachoshindikana ukiamini na kusali.

Nenda ukaombewe na uhakika utapona mazima.

You will thank GOD later.
Unanichekesha kweli! Mtu anaomba ushauri wa tatizo la kiafya unampa majibu mepesi hivyo? Wewe mwenyewe ukiugua unawahi Hospitali. Kanisa lako linaendesha huduma za afya (Zahanati, Hospital ...) leo mwenzio unataka achelewe kwa kutafuta watakaomwombea kweli?? Be serious!
 
ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,794
Points
2,000

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,794 2,000
Nenda kafanye x ray utakuwa na maji kwenye mapafu mkuu
kifedha siko vzr kwa ssasa sababu hata pesa niliyokuwa nayo nillifanyia miradi ya kimaendeleo hivyo kama ntaendelea kuwa hai basi ngoja nipigane nikiamini Mungu atanisaidia niweze kwenda kwenye tiba.
 
ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,794
Points
2,000

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,794 2,000
Ikiwa unakohoa wakat wakulala, na kubanwa kifua wakat wakulala...

Je unapolala pia unahisi kama hupumui vzuri??.

KAMA NI NDIO TAFUTA HOSP KUBWA YA MAANA HASA BUGANDO...

Inawezekana kabisa una tatizo la MOYO ! .
Mkuu iko hivi, nikilala huwa nakhoa mwanzoni ila usingizi ukigusa tu basi sikohoi mpaka usiku mwingine wa kulala. na hainichukui hata masaa mawili , ikizidi sana dakika 40 au 30 na siyo mfululizo , unakohoa kidogo kidogo tu.
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
8,128
Points
2,000

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
8,128 2,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Tatizo kama hili linamsumbua sana pia mke wangu toka mwaka Jana mwezi wa 8 mpaka leo.
 
ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,794
Points
2,000

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,794 2,000
Asante kwa ushauri wako lakini kwa sasa siko vzr , pesa nillifanyia mradi.
Mungu akiendelea kunipa pumzi hii basi nitajitaidi ili nikafanye check up.
 
ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,794
Points
2,000

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,794 2,000
Ulishawahi kuvuta sigara?
Ulifanya kazi katika mazingira ya hali ya air pollution?
Una umri gani?

Kumbuka kifua kinahusika katika mfumo wa hewa. Hewa inayoingia mwilini ikiwa safi ni lazima itoke ikiwa chafu. Maana yake inasaidia kutoa uchafu mwilini.

Kama mzunguko wa hewa una matatizo husababisha matatizo kwenye mzunguko wa damu na moyo.

Kama mdau ISLETS alivyoeleza kuhusu pulmonary oedema. Ninamashaka kuwa unasumbuliwa na kufua cha mshipa (COPD) Chronic Obstruction Pulmonary Disease.

Nenda clinic wa check capacity ya mapafu yako ku exhale and inhale.

Mfumo wa hewa ukiwa na hitilafu hudhoofisha immune system ya mapafu ambayo ni imara sana.

Wagonjwa huhitaji uangalizi wa karibu wa daktari katika kutibu infections za kifua, dawa za kutanua mishipa ya hewa na steroids.
Asante sana, naanza kama ifuatavyo,

1.Sigara nilivuta kwa muda wa wiki mbili hizi ni za madukani club sport, master sports n.k, pia bangi nilitumia mwaka 2014 baada ya kumaliza chuo, ila baada ya bangi kunikataa niliacha mwenyewe na kuamua kuachana na uvutaji wa aina yoyote mwaka huo huo , nilikuwa nimeasi kanisani nikarudi kutubu , mpaka sasa situmii sigara ya aina yoyote tangia mwaka 2014,

2.Nafanya kazi mgodini ...Mwanzoni nilikuwa naenda sehemu za kuchimba almas na sehemu hizo zina vumbi sana , nimefanya kazi kama miezi 9 , baada ya hapo nikaacha na kurudishwa oficin, ila nimeacha kazi na kifua kilikuwa kinanisumbua siku hadi siku, Nakumbuka nilikuwa na desturi ya kunywa maji sana usiku , ili niwe macho kulingana na kazi niliyokuwa nafanya , ilifika sehemu nilipoacha tu kunywa maji kwa wingi ndo tatizo likanipata mpaka sasa tangia mwaka jana mwezi wa (11).. pia mimi tangia udogo wangu nilkuwa nikikimbia naenda na pumua kwa kasi mpaka sasa ni hivo hivo tu,Mazingira ya mgoddini kiukweli vumbi ni yakutosha pia baridi lina msimu kuanzia mwezi wa sita huwa kali na kweli lilinisumbua sana , nilikuwa sipendi kuvaa makoti nikiogopa kusinzia kazini..

3.UMRI WANGU MIAKA (25).
 
COPD maranyingi huwa pata watu wa 50+ lakini mazingira ya mgodini ni risk factor.

Anza vipimo vya lung function kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,354,802
Members 518,561
Posts 33,096,060
Top