Naombeni ushauri wa tiba wa ugomjwa huu

ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,711
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,711 2,000
Habari zenu Wapendwa , Natumai Mwaendelea Vema Na Kurudumu La Maisha Haya Ila Mie Kijana Mwenzenu Maradha Yameuteka Mwili Wangu.

Historia ya ugonjwa wangu ulivyoanza

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie

Limao, mchaichai na sukari niwe nakunywa nitapata nafuu kwakweli ilinisaidia na mpaka sasa inanisaidia kibaya siwezi sinzia bila kunywa kikombe kimoja

Wadau naombeni msaada wenu wa tiba niko Shinyanga hapa Mwadui kwa sasa nimekata tamaa kijana mwenzenu

Ukiona u mzima basi mshukuru Mungu pia kabla tatizo halijawa kubwa shughulika nalo mapema maaana likiwa kubwa zaidi yawezekana hata gharama za matibabu zikawa juu sana

Karibuni kwa ushauri na ikiwezekana tiba
Ni wenu mtiifu
Ashomile William
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,914
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,914 2,000
unasema unakohoa bila makohozi halafu kwenye kupima ulipima makohozi, how??

Nenda kapime X Ray ya kifua utapata jibu. Kwa hizo dalili I guess something like pulmonary oedema (maji kwenye mapafu), ila vipimo ndio vitatoa majibu sahihi.
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,571
Points
2,000
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,571 2,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Umepiga X Ray ya kifua?? Kama bado basi nenda bugando au kamanga medics pale nyegezi mwanza ukafanyiwe vipimo vya maana.
 
P

ponasoo

Senior Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
137
Points
225
P

ponasoo

Senior Member
Joined Apr 4, 2019
137 225
pole ana ngoja wajuvi waje wakusaidie hilo tatizo lako.
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,784
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,784 2,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.

Kuna tiba moja unaishau nayo ni MAOMBI. Hakuna kinachoshindikana ukiamini na kusali.

Nenda ukaombewe na uhakika utapona mazima.

You will thank GOD later.
 
MoseRose

MoseRose

Member
Joined
Sep 5, 2017
Messages
72
Points
150
MoseRose

MoseRose

Member
Joined Sep 5, 2017
72 150

Pole sana mkuu.Kwa ushauri wangu naomba uende pale bugando (Kutoka shinyanga sio mbali) ukacheck hitilafu kwenye mapafu.Bila shaka there is something wrong.Pia jitahidi sana kufanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku yatasaidia kufungua mapafu na kuondoa some invaders.
NB:Zingatia natural home remedies kama malimao,tangawizi,asali nk.Ni bora zaidi.
 
MoseRose

MoseRose

Member
Joined
Sep 5, 2017
Messages
72
Points
150
MoseRose

MoseRose

Member
Joined Sep 5, 2017
72 150
Kuna tiba moja unaishau nayo ni MAOMBI. Hakuna kinachoshindikana ukiamini na kusali.

Nenda ukaombewe na uhakika utapona mazima.

You will thank GOD later.
Maombi ni muhimu, ila tambua maombi bila jitihada ya hospitali hakuna kitu.UKITAKA MUNGU AKUSAIDIE,ANZA KWANZA KUJISAIDIA MWENYEWE KWA KUENDA HOSPITALINI HUKU UKIMUOMBA YEYE.Maombi peke yake si chochote.
 
MoseRose

MoseRose

Member
Joined
Sep 5, 2017
Messages
72
Points
150
MoseRose

MoseRose

Member
Joined Sep 5, 2017
72 150
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Never give up.Bado una nafasi nyingine ya kupona.Mtumaini mungu huku ukizingatia ushauri wa wataalam
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
37,105
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
37,105 2,000
Ulishawahi kuvuta sigara?
Ulifanya kazi katika mazingira ya hali ya air pollution?
Una umri gani?

Kumbuka kifua kinahusika katika mfumo wa hewa. Hewa inayoingia mwilini ikiwa safi ni lazima itoke ikiwa chafu. Maana yake inasaidia kutoa uchafu mwilini.

Kama mzunguko wa hewa una matatizo husababisha matatizo kwenye mzunguko wa damu na moyo.

Kama mdau ISLETS alivyoeleza kuhusu pulmonary oedema. Ninamashaka kuwa unasumbuliwa na kufua cha mshipa (COPD) Chronic Obstruction Pulmonary Disease.

Nenda clinic wa check capacity ya mapafu yako ku exhale and inhale.

Mfumo wa hewa ukiwa na hitilafu hudhoofisha immune system ya mapafu ambayo ni imara sana.

Wagonjwa huhitaji uangalizi wa karibu wa daktari katika kutibu infections za kifua, dawa za kutanua mishipa ya hewa na steroids.
 
Barca

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
845
Points
500
Barca

Barca

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
845 500
Hiyo mbona ni asthma. Kila unPobanwa tumia dawa. Nenda hospital watakupa dawa. Usafi wa nyumba muhim sana. Kusiwe hata na vumbi kiduchu.

Acha kutumia perfume au sabuni za unga.

Lakini pia fanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo. Muone daktari mtaalamu wa moyo.

Pole sana
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
 
Alinda

Alinda

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2008
Messages
1,679
Points
2,000
Alinda

Alinda

Platinum Member
Joined Jun 26, 2008
1,679 2,000
Ulishawahi kuvuta sigara?
Ulifanya kazi katika mazingira ya hali ya air pollution?
Una umri gani?

Kumbuka kifua kinahusika katika mfumo wa hewa. Hewa inayoingia mwilini ikiwa safi ni lazima itoke ikiwa chafu. Maana yake inasaidia kutoa uchafu mwilini.

Kama mzunguko wa hewa una matatizo husababisha matatizo kwenye mzunguko wa damu na moyo.

Kama mdau ISLETS alivyoeleza kuhusu pulmonary oedema. Ninamashaka kuwa unasumbukiwa na kufua cha mshipa (COPD) Chronic Obstruction Pulmonary Disease.

Nenda clinic wa check capacity ya mapafu yako ku exhale and inhale.

Mfumo wa hewa ukiwa na hitilafu hudhoofisha immune system ya mapafu ambayo ni imara sana.

Wagonjwa huhitaji uangalizi wa karibu wa daktari katika kutibu infections za kifua, dawa za kutanua mishipa ya hewa na steroids.
Hata mie nahisi ni COPD su Asthama..muhimu uende.katika hospital kubwa wakucheckaana una tatizo madk.ndo hawajagundua ni tatizo lipi..
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
37,105
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
37,105 2,000
Hata mie nahisi ni COPD su Asthama..muhimu uende.katika hospital kubwa wakucheckaana una tatizo madk.ndo hawajagundua ni tatizo lipi..
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
 
T

tonito120

Member
Joined
Feb 15, 2012
Messages
7
Points
45
T

tonito120

Member
Joined Feb 15, 2012
7 45
Dalili zinashabihiana sana na REFLUX LARYNGITS(Laryngealpharyngeal reflux disease)....ugonjwa huu hasa husababishwa na reflux(backflow) ya gastric content(GERD)....specifically Pepsin...husababishwa na some weakness za milango ya juu na chini ya njia ya chakula(Esophugus) ikianzia kinywani hadi linapoanzia tumbo.
Tindikali hii huathiri kuta za njia hiyo na inaporuka kwenda kwenye Airway(Larynx) basi husababisha dalili za kikohozi kikavu hasa unapokua umelala flat kwani reflux hutegemea pia gravity.Pia unaweza kupata pumu,vimbe kwenye vocal cord,sauti kupotea na kurudi.

Lakini mwanzo kabisa mtu huweza kuhisi kama kuna kitu kinakaba kooni(globus sensation),kuwa na ute mwingi mzito kooni(excessive phlegm),kuwa mkavu sana kooni,kuhisi kama masikio yamejaa maji,kichefuchefu especially asubuhi,kiungulia na kuhisi kuna kitu kinaunguza kooni au kifuani(heartburn),kupaliwa mara kwa mara unapokua umelala usiku.
Hii ni topic pana ila nakushauri uonane na Daktari Bingwa wa ENT(Otorhinolaryngologist).
Bugando wapo kadhaa.
All the best
 
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
791
Points
1,000
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
791 1,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Pole sana mkuu ila hilo limao ukichanganya na asali inakuwa nzuri zaidi kuliko ukichanganya na sukari
 
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,268
Points
2,000
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,268 2,000
Habari zenu Wapendwa , natumai mwaendelea vema .

Nimekuja hapa mbele yenu ,nikiwa naeleza tatizo linalonisibu.

Tatizo langu :Kifua kinabana haswa muda wa kulala huwa nakohoa bila ya makohozi kutoka , tangia mwaka jana 2018 mwezi wa 11 , nilipata hitilafu hii mpaka leo sijawahi pona ..

Nimeenda mahospitalini anzia Mwadui hospital nimepima mpaka makohozi lkn hkn , nikaenda shinyanga government hospital sijawahi pata tiba zaidi ya doze , cetrizen ,sediton na amplicox pekee hapa ndo huwa naanza kupata nafuu ila dozee ikiisha huwa narudi katika hali yangu ya kukuhoa ,wapendwa nimemeza doze mpaka nikahisi mwili kuchoka kwa kutumia doze ... Imefika sehemu nikajikatia tamaa , kinachonishangaza kwann kbl sijalala kifua hakibani na kukohoakohoa hakuna ???!

Nikawaza labda ni UKIMWI , nikaenda hospital kupima ugonjwa huo nikakutwa mzima sina kabisa ..

Siku nyingine nikaenda kupima makohozi nikaambiwa niko salama kbs .

Ila kila nikilala nakohoa mnoo haswa pale usingizi unapokuwa umenikaba kama mida hii.

Nikapata mke wa mshikaji ambaye tupo nae kwenye ajira , akaona khali niliyonayo akanishauri nitumie LIMAO , MCHAICHAI NA SUKARI NIWE NAKUNYAA NITAPATA NAFUU KWELI ILINISAIDIA NA MPAKA SASA INANISAIDIA KIBAYA SIWEZI SINZIA BILA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ..

WADAU MSAADA WENU WA TIBA NIKO SHINYANGA HAPA MWADUI KWA SASA ..
NIMEKATA TAMAA KIJANA MWENZENU.
Jaribu kuonana na ma-specialist wa magonjwa ya mfumo wa hewa katika hospi kubwa.
Uenda ukapata usaidizi
 
abackuk

abackuk

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Messages
154
Points
225
abackuk

abackuk

Senior Member
Joined Jan 6, 2014
154 225
Kuna dr mmoja anatumia tiba mbadala yuko Arusha,amemsaidia mke wangu kwa tatizo kama lako..kama wamhitaji naweza kukuelekeza namna ya kumpata.Pole sana naelewa hali unayopitia.
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
10,146
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
10,146 2,000
Dalili zinashabihiana sana na REFLUX LARYNGITS(Laryngealpharyngeal reflux disease)....ugonjwa huu hasa husababishwa na reflux(backflow) ya gastric content(GERD)....specifically Pepsin...husababishwa na some weakness za milango ya juu na chini ya njia ya chakula(Esophugus) ikianzia kinywani hadi linapoanzia tumbo.
Tindikali hii huathiri kuta za njia hiyo na inaporuka kwenda kwenye Airway(Larynx) basi husababisha dalili za kikohozi kikavu hasa unapokua umelala flat kwani reflux hutegemea pia gravity.Pia unaweza kupata pumu,vimbe kwenye vocal cord,sauti kupotea na kurudi.

Lakini mwanzo kabisa mtu huweza kuhisi kama kuna kitu kinakaba kooni(globus sensation),kuwa na ute mwingi mzito kooni(excessive phlegm),kuwa mkavu sana kooni,kuhisi kama masikio yamejaa maji,kichefuchefu especially asubuhi,kiungulia na kuhisi kuna kitu kinaunguza kooni au kifuani(heartburn),kupaliwa mara kwa mara unapokua umelala usiku.
Hii ni topic pana ila nakushauri uonane na Daktari Bingwa wa ENT(Otorhinolaryngologist).
Bugando wapo kadhaa.
All the best
Boss kwa dar wanapatikana hospital ipi na ipi, nahitaji kuonana na huyo bingwa wa ENT
 
Forum statistics

Threads 1,325,448
Members 509,127
Posts 32,192,776
Top