Naombeni Ushauri wa matibabu kwa Tatizo hili.

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
253
218
Habari za usiku huu members

Niko na tatizo la kupata maumivu sehemu ya ndani ya uume baada ya kutoka haja kubwa au baada ya kumaliza kuoga, ili tatizo au maumivu yaishe ni kurudi na kujitawaza kwa maji na kurudia tena kuosha uume wangu au kulazimisha kukojoa mara kwa mara kwa mda mfupi sana.wakati wa kukojoa sipati maumivu yoyote ila tu nikikaa sehemu na kutulia ndo maumivu huanza.

Nini chanzo na Solution yake?

Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom