Naombeni ushauri wa master course nzuri ya kuchukua

muke ya muyahudi

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
399
179
Naombeni ushauri wa master course nzuri ya kuchukua kati ya public administration, sociology na marketing management, mostly in terms of validity ya soko la ajira
 
kwa ushauri wangu tu usifate sana watu wanasema nini, wewe nadhani mpaka umemaliza hiyo degree ya kwanza nadhani ni mtu mzima unajitambua ni nini unataka....

kwani hata wakati unaanza unasoma degree ya kwanza ulikuja kutuomba ushauri humu???????? :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
ahsantee
 
Master of Arts in Education hiyo ndo masters kama huna hiyo anza na PGDE then unaandika dissertation unakuwa awarded hii masters.
Hii huwezi kujuta friend. Tena kuna moja matata sasa imefunguliwa duce pale utatoka upo nondo
Karibu mkuu!!!
 
Thank u balimar. .ila sasa nilichukua bcom bachelor. .wataniruhusu kweli huko duce? from udbs?
 
Jaribu kwenda pale chuoni kama upo dar.
Zile course ni markeyable sana na hutojutia mudacwala fedha yako mark my word
 
Back
Top Bottom