Naombeni ushauri wa haraka kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi

Huyu jamaa kichwani hamna kitu? Unadate na mwanamke aliyezaa watoto wawili? Aachane na huyo Dada kudate na mwanamke aliyezaa ni ujinga mkubwa. Mimi yamenikuta hayo. Kuna baradhuli moja hivi la kimbulu liliniletea wenge nomaaaa atafute demu mwingine.
 
Huyo mazazi mwenzako baadae atakuja kumsumbua sana akiwa kwa huyo mwingine...

Kheri abakie single na mtoto wake tu. maisha yake yote...

Cc: mahondaw
 
Kama kavumilia watoto wawili, ajitahidi apate wa tatu, pia mshauri huyo kijana watu wakishaonyeshana vikojoleo vyao mpaka wakazaa watoto ni hatari sana kumfanya mmoja wao mwenza. Unaweza Ukapata either UKIMWI au heartbreak.
 
Huyu jamaa kichwani hamna kitu? Unadate na mwanamke aliyezaa watoto wawili? Aachane na huyo Dada kudate na mwanamke aliyezaa ni ujinga mkubwa. Mimi yamenikuta hayo. Kuna baradhuli moja hivi la kimbulu liliniletea wenge nomaaaa atafute demu mwingine.
Bro duh.... Mbona umeongea kwa ukali. Imagine huyo dada ni mdogo wako au dada yako, ungemuombea hayo unayoyasema hapa....?!

Mimi kwa upande wangu nimejiskia vizuri ingawa masingle mother huwa wanaboa sana maana wengi wanaingia matatizono sababu ya ngebe zao za kiboya..... Ila huyu anaonekana aliingia sababu za kimaisha na kutokuwa sehemu sahihi.

Kama kijana amemridhia na kumkubali kuishi nae na kumsitiri then nadhani the best thing to do is wish them well na kuwaombea muunganiko wao uwe ni wa amani....
 
Huyo mazazi mwenzako baadae atakuja kumsumbua sana akiwa kwa huyo mwingine...

Kheri abakie single na mtoto wake tu. maisha yake yote...

Cc: mahondaw
Mbona mnaombea mabaya tu jamani, kawakosea nini dada wa watu....

Muombeeni neema na maisha mema, mbona kuna watu walishakutana mtu ana watoto na wakaishi kwa amani tu na utulivu....
 
Mbona mnaombea mabaya tu jamani, kawakosea nini dada wa watu....

Muombeeni neema na maisha mema, mbona kuna watu walishakutana mtu ana watoto na wakaishi kwa amani tu na utulivu....

Sijamuombea mabaya... Ila mwanamke hana msimamo...

Cc: mahondaw
 
Nimeharibu kusomaaaa kwa makini inaonekana ndoa nyingi zitakucha kulegalega baada ya mwanamke kuanzisha mahusiano mengine huku alikotoka kisha zalishwa hii naamini kabisa kamwe mwanaume huwezi pata furaha Maisha yako yote ya mahusiano unaanza kujichimbia kaburi mwenyewe unavyoendelea king'ang'ania mapenzi kumbe mwamba anaendelea kukaza taratibu uko
 
Mbona mnaombea mabaya tu jamani, kawakosea nini dada wa watu....

Muombeeni neema na maisha mema, mbona kuna watu walishakutana mtu ana watoto na wakaishi kwa amani tu na utulivu....
We kama ulikutana nae basi ndio mabahati yako lkn kwa asilimia kubwa wapo ivo
 
Back
Top Bottom