Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

Mwandikie cheque kisha isababishe isipite bank kwa kuandika kiasi kikubwa kuliko kiilichopo kwenye acc. Kama ukimpa ijumaa atapata majibu j5, hoping utakuwa umeshafanya yako vya kutosha.
 
Cha kufanya fanya hivi. Mwambie akupe business plan yake afu then mtashare ili mfanye business pamoja iwe ya familia yenu mnayo tarajia kuanzisha. Then utaona kama hiyo business ni double au anataka kukupiga tu. Nenda naye taratibu utamgonga tu.
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatusumbua, hatuna ushauri
 
J&B.Amna mtu apo mkuu,She lie u araf hata ukimuoa itokee kweli we hauend kuish na uzur,sura wala shepu yake unaenda kuish n.a Mbongo (Akili )yake Amna kitu apo fight to get the right women waachie Marecture.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Malengo yako kwake ni nini. Kama ni kula mzigo tu jiulize ana nini cha zaidi hadi ugharamikie hivyo, tena yakiwa ni malipo ya awali tu kama ya kulipia maombi ya kipatiwa kiwanja ambayo huwa hayarudishwi bila kujali utakipata au la.(unaringa mini Dada, ina TV ndani!!)
Na kama ni kuoa sidhani kama itakuwa sahihi kumtafuta mke kwa kuangalia sura tu bila kujali kwanza tabia na misimamo yake ya kimaisha. (Mwanamke siyo sura bali ni tabia njema).
Ila vinginevyo we mwenyewe ni mtu wa kurukia rukia kila kivutiacho machoni kwa gharama yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Unatusumbua mkuu!! Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo! Hadi tukupe ushauri!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom