Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 825
Mbona kazi rahisi, unamwambia kwamba utampa hiyo hela tena kwa mchanganuo inayoeleweka, ikibidi kaa naye chini mpige hesabu za mradi. Na mwelezee tu anahitaji aanze na hela ndogo kama 1m. Then unakula papuchi unampa elfu ishirini ya uber. Unamwacha na wazo la biashara.
Kuna demu nilimfanyia hivyo Ila alipogundua kwamba kaingizwa mjini ilibidi acheke tu na kuniita Mimi mjanja.
Kuna demu nilimfanyia hivyo Ila alipogundua kwamba kaingizwa mjini ilibidi acheke tu na kuniita Mimi mjanja.