Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

Mbona kazi rahisi, unamwambia kwamba utampa hiyo hela tena kwa mchanganuo inayoeleweka, ikibidi kaa naye chini mpige hesabu za mradi. Na mwelezee tu anahitaji aanze na hela ndogo kama 1m. Then unakula papuchi unampa elfu ishirini ya uber. Unamwacha na wazo la biashara.
Kuna demu nilimfanyia hivyo Ila alipogundua kwamba kaingizwa mjini ilibidi acheke tu na kuniita Mimi mjanja.
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Du!mzee baba ndo unaanza kutongoza?toa siumependa nenda hata benki kakope umpe,we ndo wamuona mm ndo alikuwa dem wangu chuo nilikuwa nala bure namhonga matilio,yeye ananipa pesa
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Hivi wanaume wenzangu kwani ni lazima au ni sheria kila mwanamke unae kutana nae umtongoze muda mwingine unakaza tu watu tuna miaka kibao hatujatongoza
Mpe milioni Sita yake sasa
 
Niulize mwenzako,
Kuna chuo kimoja nilikutana na demu mkali sana wa Kimasai. Kwa ujumla nimechafua makabila kibao iila nilikuwa sijawahi mega Masai. Basi nikaweka sharti lazima nimuingize katika List ya Konki.

Uwezi amini hawajui kukataa masai, ila wanapenda pesa ajabu ni sawa na huyo wako ila yeye alikuwa na kiwango vumilivu. Alinichuna na Papuchi hatoi kuna siku nilifika nae hadi logde kanikazia, na vile hisia hawana asikuambie mtu.

Ilifikia wakati mm nilichoka kufuatilia K kama vile natafuta kazi. Looh kuna siku akanitafuta mwenyewe , sasa hivi alikuwa mpole na yuko tayari nikapige pisto. Kufika huko nilichokiona hadi leo nimeapa sito mla masai tena ktk maisha yangu. Kwanza wanakeketwa ( hisia 0), pili matendo zero japo ni wauzaji ws shanga za kiunoni hawajui chchote.

Nasaha yangu huyo ni mchunaji na anaweza akakupiga pesa kwa bao moja tu.
 
Hahahaha nimesoma story yako nilipofikia kwenye paragraph ya binti wa Udom imenibid nikucheke sana tena sana duuuuuh kwa uchafu ule nilioona pale Dodoma wa mwanga baa,Cda hahahaha pole.
Hiyo hela mtumie Mama yako chap kwa haraka upate baraka au nenda kapeleke kanisan/msikitin
 
Ushauri wangu:

Kabla hujampa hiyo hela, Piga nyeto bao mbili kwanza... Pumzika, kunywa maji ya kutosha .

Kama bado hujafanya maamuzi ya kumpa au kutompa, Piga nyeto bao lingine tena. Pumzika. Kama baada ya hapo bado nafsi yako inakwambia umpe, mpigie simu akupe akaunti namba, kisha kamwekee mzigo benki.

Ukiwa unarudi nyumbani, nunua taulo kubwa la kudekia machozi, maana ninao uhakika macho yatatoa mafuriko baadae.
 
Ukimpa hunaa akili...Maana utakuwa umenunua pussy kwa mil 6 usawa huu mzee???Ufalaa wako ni kiwango cha masters
 
Ushauri wangu:

Kabla hujampa hiyo hela, Piga nyeto bao mbili kwanza... Pumzika, kunywa maji ya kutosha .

Kama bado hujafanya maamuzi ya kumpa au kutompa, Piga nyeto bao lingine tena. Pumzika. Kama baada ya hapo bado nafsi yako inakwambia umpe, mpigie simu akupe akaunti namba, kisha kamwekee mzigo benki.

Ukiwa unarudi nyumbani, nunua taulo kubwa la kudekia machozi, maana ninao uhakika macho yatatoa mafuriko baadae.
Wanaume Genye huwa zinatuendesha sanaa aisee...!! Hapo anapaparikaa kisa nyampuu.. alafu atoe mil 6 aende akutee ni bwawaa linapwerepwetaaa.... Pumbafuuu kabisaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom