Hata akitafuta Mhaiti wa kufunga nae ndoa?
Ntaichukua familia nikisettleKwa mimi sijawahi kusafili nje ya nchi,ila kwa maono yangu ni bora ukaludi nyumbani kwani teyari usha kuwa na familiya Mke na watoto ni vema ukaludi ukawa karibu na familiya yako.
Tambua uko unaanza moja,uoni kama itakuwa ngumu pale pindi familiya itakapo itaji msaada wa kifedha kutoka kwako?
Ni maoni,ila kwa utakalo ona sahihi kufanya basi Mungu akubaliki kaka.
Kwa kifupi unaweza kuwa na viza lakini ukishia airport na kupanda ndege hiyo hiyo iliyokubeba kurudi nayo iwapo utatiliwa shaka,kwani kuna viswali huulizwa kabla hujagongewa muhuriwa kuruhusiwa kuingia,pia jua digrii yako ya Bongo hakuna anayeijua huko Marekani na mwisho hadi kuja kufanikiwa Marekani inachukua miaka, na Marekani si lelemama kama wengi tunavyodhani huku au tunavyoangalia kwenye FB ,na kwa hali ya mtawala wa sasa aliyepo kwenye jengo jeupe,sidhani kama ni jambo jema kupiga kambi Marekani na kwa sasa sijui hata nafasi za kusomea unesi kama zipo kama ilivyokuwa awali,kwa wengi ukiwa nesi angalau ndio unakuwa na maisha ya uhakika au uwe na skills za kufa mtu ndio mfumo ukuhitaji, na mwisho kaka bila makaratasi utaishia kuuza maji mitaani kwa pesa ndogo. Ni bora uende ukaangalie na urudi tu ,hapa Bongo ni peponi kulinganisha na huko unakotaka kuzamia,maisha si rahisi kama wengi tunavyodhani,Marekani hakuna cha mjomba wala kwenda kuchimba mhogo shambani,usipofanya kazi/kibarua jua hutakuwa na sehemu ya kulala wala kula,yes kila kitu kipo lakini kila kitu ni pesa.Nenda kajionee mwenyewe halafu uje utuambie hapa,lakini jua moja tu huko utaenda kupigika kweli kweli, na utaikumbuka Bongo.Nimeandika kwa uzoefu nilionao wa kuishi Marekani japo si kwa muda mrefu,ikabidi ni Uturn asap.Habari wana JF natumai mko vizuri muda huu.Nichukue nafasi hii kuwatakia Waislam wote Eid-el-Adh-ha njema.Wadau siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi hapa wa kutaka kupata uzoefu wenu wa kusafiri nchi za Ulaya na Marekani na nilieleza kuwa nimebahatika kupata visa ya Marekani kwaajili ya kwenda mkutano Mjini Washington D.C lakini sina uzoefu wa kusafiri hii ni mara yangu ya kwanza kupanda ndege.
Wapo walioniletea utani na wapo walionishauri vizuri hivyo nawashukuru wote walionipa mawazo mazuri.Wakuu ukweli Mimi Mhitimu wa Chuo kikuu ambae nimemaliza chuo mwaka 2012 na mara tu baada ya kumaliza nikabahatika kupata kazi moja ya kampuni kubwa hapa Jijini Daresalaam lakini malipo yalikuwa hayanitoshelezi hasa ukizingatia nilikuwa na mke na mtoto mmoja na pia nilikuwa nategemewa na mama yangu na ndugu zangu Saba ambao bado hawajamaliza kusoma wakati ule nilikuwa kama baba maana baba alishatangulia mbele ya haki na familia yangu ni masikini.
Ilifika wakati mama aliwaambia ndugu zangu wadogo kuwa kaeni nyumbani kaka yenu asome kisha akimaliza akapata kazi atawasomesha na ninyi.Kwa kweli tulikuwa na hali ngumu sana ya maisha ambayo sometime nikikumbuka huwa naumia sana.
Kwa sasa nina watoto watatu na nimefanikiwa kuwasomesha wadogo zangu wawili ambae mmoja anafanya kazi sasa na mwingine amemaliza chuo kikuu Mzumbe mwezi uliopita hivyo namshukuru mungu angalau maisha yamekuwa afueni maana nimemfungulia mama kiduka kidogo ambacho kinamsaidia kulipa umeme na maji na vitu vidogovidogo tunamshukuru Marehemu baba alituachia nyumba.
Sasa naomba ushauri wenu katika hili.Nategemea kwenda Marekani tarehe tarehe 17 mwezi huu je nisalie huko au nirudi nyumbani? Maana naona kila nikitazama hali mbaya ya maisha hapa kwetu nahisi siwezi kukamilisha malengo yangu maana nalipwa Mshahara mdogo na mimi kukopa sitaki japo nimeambiwa nakopesheka.
Je nibaki Marekani au nirudi Home?.Naomba ushauri wenu.Natanguliza Shukran kwa atakaenishauri vyema
Ni kweli bro unayoyasema au ni unataka kunikatisha tamaa?Kwa kifupi unaweza kuwa na viza lakini ukishia airport na kupanda ndege hiyo hiyo iliyokubeba kurudi nayo iwapo utatiliwa shaka,kwani kuna viswali huulizwa kabla hujagongewa muhuriwa kuruhusiwa kuingia,pia jua digrii yako ya Bongo hakuna anayeijua huko Marekani na mwisho hadi kuja kufanikiwa Marekani inachukua miaka, na Marekani si lelemama kama wengi tunavyodhani huku au tunavyoangalia kwenye FB ,na kwa hali ya mtawala wa sasa aliyepo kwenye jengo jeupe,sidhani kama ni jambo jema kupiga kambi Marekani na kwa sasa sijui hata nafasi za kusomea unesi kama zipo kama ilivyokuwa awali,kwa wengi ukiwa nesi angalau ndio unakuwa na maisha ya uhakika au uwe na skills za kufa mtu ndio mfumo ukuhitaji, na mwisho kaka bila makaratasi utaishia kuuza maji mitaani kwa pesa ndogo. Ni bora uende ukaangalie na urudi tu ,hapa Bongo ni peponi kulinganisha na huko unakotaka kuzamia,maisha si rahisi kama wengi tunavyodhani,Marekani hakuna cha mjomba wala kwenda kuchimba mhogo shambani,usipofanya kazi/kibarua jua hutakuwa na sehemu ya kulala wala kula,yes kila kitu kipo lakini kila kitu ni pesa.Nenda kajionee mwenyewe halafu uje utuambie hapa,lakini jua moja tu huko utaenda kupigika kweli kweli, na utaikumbuka Bongo.Nimeandika kwa uzoefu nilionao wa kuishi Marekani japo si kwa muda mrefu,ikabidi ni Uturn asap.
Sikukatishi tamaa,nenda kwanza ndio utaamua mwenyewe,labda kila mtu ana bahati yake,lakini kwa mfumo wa Marekani kazi ipo.Sijui unaenda jimbo gani?Ni kweli bro unayoyasema au ni unataka kunikatisha tamaa?
We tamba tu.. ila siku mambo yakienda mrama ukweli mpaka kufikia hatua ya kurudi kijijini kwenu sitimbi... uje utuambia apaHabari wana JF natumai mko vizuri muda huu.Nichukue nafasi hii kuwatakia Waislam wote Eid-el-Adh-ha njema.Wadau siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi hapa wa kutaka kupata uzoefu wenu wa kusafiri nchi za Ulaya na Marekani na nilieleza kuwa nimebahatika kupata visa ya Marekani kwaajili ya kwenda mkutano Mjini Washington D.C lakini sina uzoefu wa kusafiri hii ni mara yangu ya kwanza kupanda ndege.
Wapo walioniletea utani na wapo walionishauri vizuri hivyo nawashukuru wote walionipa mawazo mazuri.Wakuu ukweli Mimi Mhitimu wa Chuo kikuu ambae nimemaliza chuo mwaka 2012 na mara tu baada ya kumaliza nikabahatika kupata kazi moja ya kampuni kubwa hapa Jijini Daresalaam lakini malipo yalikuwa hayanitoshelezi hasa ukizingatia nilikuwa na mke na mtoto mmoja na pia nilikuwa nategemewa na mama yangu na ndugu zangu Saba ambao bado hawajamaliza kusoma wakati ule nilikuwa kama baba maana baba alishatangulia mbele ya haki na familia yangu ni masikini.
Ilifika wakati mama aliwaambia ndugu zangu wadogo kuwa kaeni nyumbani kaka yenu asome kisha akimaliza akapata kazi atawasomesha na ninyi.Kwa kweli tulikuwa na hali ngumu sana ya maisha ambayo sometime nikikumbuka huwa naumia sana.
Kwa sasa nina watoto watatu na nimefanikiwa kuwasomesha wadogo zangu wawili ambae mmoja anafanya kazi sasa na mwingine amemaliza chuo kikuu Mzumbe mwezi uliopita hivyo namshukuru mungu angalau maisha yamekuwa afueni maana nimemfungulia mama kiduka kidogo ambacho kinamsaidia kulipa umeme na maji na vitu vidogovidogo tunamshukuru Marehemu baba alituachia nyumba.
Sasa naomba ushauri wenu katika hili.Nategemea kwenda Marekani tarehe tarehe 17 mwezi huu je nisalie huko au nirudi nyumbani? Maana naona kila nikitazama hali mbaya ya maisha hapa kwetu nahisi siwezi kukamilisha malengo yangu maana nalipwa Mshahara mdogo na mimi kukopa sitaki japo nimeambiwa nakopesheka.
Je nibaki Marekani au nirudi Home?.Naomba ushauri wenu.Natanguliza Shukran kwa atakaenishauri vyema
Kurudi au kutorudi kutategemea utakayokutana nayo huko.Mkuu usirudi. Nakushahuri baki huko huko, Mimi mwez December nitakuwa USA.Sitegemei kurudi.
Hata ardhi yawatu hujakanyaga(kwa trump)jamani ushamkumbuka mkeo tena ashazaa nawanao 3,hofuyako nn?kwenyestori yako sijaona kama unaenda nae....ukifika jipange harafu Fanya mpango mkeo ajehuko,naamini kwenye taarifazako ubalozini navisa(umeoa).kama alivofanya mwezako Dr slaa wilbrod.tangulia kwanzaaa ,sawa eeeHabari wana JF natumai mko vizuri muda huu.Nichukue nafasi hii kuwatakia Waislam wote Eid-el-Adh-ha njema.Wadau siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi hapa wa kutaka kupata uzoefu wenu wa kusafiri nchi za Ulaya na Marekani na nilieleza kuwa nimebahatika kupata visa ya Marekani kwaajili ya kwenda mkutano Mjini Washington D.C lakini sina uzoefu wa kusafiri hii ni mara yangu ya kwanza kupanda ndege.
Wapo walioniletea utani na wapo walionishauri vizuri hivyo nawashukuru wote walionipa mawazo mazuri.Wakuu ukweli Mimi Mhitimu wa Chuo kikuu ambae nimemaliza chuo mwaka 2012 na mara tu baada ya kumaliza nikabahatika kupata kazi moja ya kampuni kubwa hapa Jijini Daresalaam lakini malipo yalikuwa hayanitoshelezi hasa ukizingatia nilikuwa na mke na mtoto mmoja na pia nilikuwa nategemewa na mama yangu na ndugu zangu Saba ambao bado hawajamaliza kusoma wakati ule nilikuwa kama baba maana baba alishatangulia mbele ya haki na familia yangu ni masikini.
Ilifika wakati mama aliwaambia ndugu zangu wadogo kuwa kaeni nyumbani kaka yenu asome kisha akimaliza akapata kazi atawasomesha na ninyi.Kwa kweli tulikuwa na hali ngumu sana ya maisha ambayo sometime nikikumbuka huwa naumia sana.
Kwa sasa nina watoto watatu na nimefanikiwa kuwasomesha wadogo zangu wawili ambae mmoja anafanya kazi sasa na mwingine amemaliza chuo kikuu Mzumbe mwezi uliopita hivyo namshukuru mungu angalau maisha yamekuwa afueni maana nimemfungulia mama kiduka kidogo ambacho kinamsaidia kulipa umeme na maji na vitu vidogovidogo tunamshukuru Marehemu baba alituachia nyumba.
Sasa naomba ushauri wenu katika hili.Nategemea kwenda Marekani tarehe tarehe 17 mwezi huu je nisalie huko au nirudi nyumbani? Maana naona kila nikitazama hali mbaya ya maisha hapa kwetu nahisi siwezi kukamilisha malengo yangu maana nalipwa Mshahara mdogo na mimi kukopa sitaki japo nimeambiwa nakopesheka.
Je nibaki Marekani au nirudi Home?.Naomba ushauri wenu.Natanguliza Shukran kwa atakaenishauri vyema
Marekani kama Marekani,au marekani ya bongo?Habari wana JF natumai mko vizuri muda huu.Nichukue nafasi hii kuwatakia Waislam wote Eid-el-Adh-ha njema.Wadau siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi hapa wa kutaka kupata uzoefu wenu wa kusafiri nchi za Ulaya na Marekani na nilieleza kuwa nimebahatika kupata visa ya Marekani kwaajili ya kwenda mkutano Mjini Washington D.C lakini sina uzoefu wa kusafiri hii ni mara yangu ya kwanza kupanda ndege.
Wapo walioniletea utani na wapo walionishauri vizuri hivyo nawashukuru wote walionipa mawazo mazuri.Wakuu ukweli Mimi Mhitimu wa Chuo kikuu ambae nimemaliza chuo mwaka 2012 na mara tu baada ya kumaliza nikabahatika kupata kazi moja ya kampuni kubwa hapa Jijini Daresalaam lakini malipo yalikuwa hayanitoshelezi hasa ukizingatia nilikuwa na mke na mtoto mmoja na pia nilikuwa nategemewa na mama yangu na ndugu zangu Saba ambao bado hawajamaliza kusoma wakati ule nilikuwa kama baba maana baba alishatangulia mbele ya haki na familia yangu ni masikini.
Ilifika wakati mama aliwaambia ndugu zangu wadogo kuwa kaeni nyumbani kaka yenu asome kisha akimaliza akapata kazi atawasomesha na ninyi.Kwa kweli tulikuwa na hali ngumu sana ya maisha ambayo sometime nikikumbuka huwa naumia sana.
Kwa sasa nina watoto watatu na nimefanikiwa kuwasomesha wadogo zangu wawili ambae mmoja anafanya kazi sasa na mwingine amemaliza chuo kikuu Mzumbe mwezi uliopita hivyo namshukuru mungu angalau maisha yamekuwa afueni maana nimemfungulia mama kiduka kidogo ambacho kinamsaidia kulipa umeme na maji na vitu vidogovidogo tunamshukuru Marehemu baba alituachia nyumba.
Sasa naomba ushauri wenu katika hili.Nategemea kwenda Marekani tarehe tarehe 17 mwezi huu je nisalie huko au nirudi nyumbani? Maana naona kila nikitazama hali mbaya ya maisha hapa kwetu nahisi siwezi kukamilisha malengo yangu maana nalipwa Mshahara mdogo na mimi kukopa sitaki japo nimeambiwa nakopesheka.
Je nibaki Marekani au nirudi Home?.Naomba ushauri wenu.Natanguliza Shukran kwa atakaenishauri vyema
Ntaichukua familia nikisettle
Kwa kifupi unaweza kuwa na viza lakini ukishia airport na kupanda ndege hiyo hiyo iliyokubeba kurudi nayo iwapo utatiliwa shaka,kwani kuna viswali huulizwa kabla hujagongewa muhuriwa kuruhusiwa kuingia,pia jua digrii yako ya Bongo hakuna anayeijua huko Marekani na mwisho hadi kuja kufanikiwa Marekani inachukua miaka, na Marekani si lelemama kama wengi tunavyodhani huku au tunavyoangalia kwenye FB ,na kwa hali ya mtawala wa sasa aliyepo kwenye jengo jeupe,sidhani kama ni jambo jema kupiga kambi Marekani na kwa sasa sijui hata nafasi za kusomea unesi kama zipo kama ilivyokuwa awali,kwa wengi ukiwa nesi angalau ndio unakuwa na maisha ya uhakika au uwe na skills za kufa mtu ndio mfumo ukuhitaji, na mwisho kaka bila makaratasi utaishia kuuza maji mitaani kwa pesa ndogo. Ni bora uende ukaangalie na urudi tu ,hapa Bongo ni peponi kulinganisha na huko unakotaka kuzamia,maisha si rahisi kama wengi tunavyodhani,Marekani hakuna cha mjomba wala kwenda kuchimba mhogo shambani,usipofanya kazi/kibarua jua hutakuwa na sehemu ya kulala wala kula,yes kila kitu kipo lakini kila kitu ni pesa.Nenda kajionee mwenyewe halafu uje utuambie hapa,lakini jua moja tu huko utaenda kupigika kweli kweli, na utaikumbuka Bongo.Nimeandika kwa uzoefu nilionao wa kuishi Marekani japo si kwa muda mrefu,ikabidi ni Uturn asap.