Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 183
Wapendwa wana JF, heshima zenu wakubwa kwa wadogo,
Ninaombeni ushari wenu, nimenunua kiwanja mkoani nilikokulia kina muda sasa Kama miaka mitano, mambo yalikua tight sikuweza kujenga kwa wakati ule, sasahivi nimeamia hapa dar nimenunua kiwanja kingine huku dar, Kyle mkoani wazazi wangu bomoabomoa imewapitia hawana pakuishi kafidia walikopewa hakotoshi kujenga wameishia kununua ardhi nyingine ila kujenga ndio hela hawana wanaishi nyumba yakupanga sasahivi ni kitu ambacho najisikia vibaya sana.
Mmaana niaibu wazee Kama wale kudaiwa kodi kwa kweli inaniuma, sio kwamba nimezaliwa pekeyangu typo wengi ila sijuhi wenzangu hawaoni hilo swala sio japo wanawalipia kodi ya nyumba Kama kawaida, Mimi ninachowaomba ushari ni kuhusu kujenga kile kiwanja nilichokinunua mkoani niwajengee wazazi kwanza au nikijenge hichi nilichokinunua huku dar ambako ndio naishi?
Maana Mimi mwenyewe sina nyumba naninapigika sana na ishu ya kodi ya nyumba, naombeni mawazo yenu nianzie wapi? mimi kiwezo bado ni mdogo sana nabangaiza kujenga huku na huku siwezi lazima nianze nyumba moja.
Nawashukuru kwakunielewa