kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,495
- 12,591
habari zenu ndugu zangu?
naomba mnipe ushauri utakaonijenga kwenye hili maana naona lipo juu ya uwezo wangu.
katika safari yangu ya kusaka ajira nilikua natuma applications nyingi tu kabla sijabahatika kupata ajira kwenye kampuni flani ya wachina ambayo mshahara wake ni kama laki hivi kabla ya makato.sasa last two weeks nilifanya skype interview na jamaa flani wa NGO ya waswitzeland na leo wamenitumia email kuwa nimepata ile kazi na mshahara utakua 1.5m na marupurupu mengine na pia kuna training ya week tatu itafanyikia zurich but kituo cha kazi kitakua huko katavi tena vijijini, mkataba wa kazi ni miaka mitatu ila baada ya hapo itategemea na funds za wafadhili.
ushauri ninaoomba hapa ni je niende huko katavi ambako ni vijijini au niendelee kupambana hapa hapa dar kwa mshahara huu wa laki 8 huku nikisoma ramani zingine,maana hii kazi ya sasa ninayofanya ni permanent and pensonable ila hiyo ya ngo ni mkataba wa miaka mitatu?
samahani kwa mwandiko mbaya wakuu.